mko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu
mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm
muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm
mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule
next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana
upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!
THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...
Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana asawr
au kuna jipya??