Mnyika: Rais Magufuli amekwama

Mnyika: Rais Magufuli amekwama

CHADEMA ni chama kilichokosa mwelekeo na dira.....sasa hivi wamebaki kushabikia matukio....ilianza madawa ya kulevya wakarukia.....vyeti vya makonda wakarukia.......kutekwa wakarukia chama hakina ajenda yoyote wanayoisimamia Zaidi ya kusubiri matukia
Tupe dira yako na wewe kuhusu maisha ya watoto wako dazani ulo wazaa nje ndipo uhoji dira ya chadema kwisha habari yako
 
Mwelekeo na dira Yao ni kuiondoa ccm madarakani, ukiwa chama cha upinzani huna dola wala platform wala resources kazi yako kuu ni kuikosoa serekali na chama tawala Sawa mkuu? Moja Wapo Ya kukosoa ni kushabikia negative matukio ili kuionesha jamii weaknesses Za chama tawala Sawa kaka?
Sawa Mzee kwa akili yako kuna mpinzani was kumuondoa jpm 2020 kweli???
 
mko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu

mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm

muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm

mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule

next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana

upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!

THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...

Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana

au kuna jipya??
Hata wewe unapuuzwa,kakojoe ulale!
 
Huo mfumo ungeazia katika Chama cha Chadema.. Na aeleze mfumo ni nini na unafanyaje kazi.. Sio maneno maneno tu
 
mko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu

mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm

muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm

mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule

next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana

upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!

THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...

Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana

au kuna jipya??
Wewe ndiye uko busy na bashite ndiyo maana huachi kumtaja. Mabandiko yako mengi humu huwa unalaumu ajabu hutaki wengine walaumu! Wapi Mnyika kamtaja bashite hapo?
 
Nmeshasema wanasiasa acheni kuniingilia kwenye majukumu yangu. Nataka kuwaletea watanzania maendeleo waliyoya miss kwa muda mrefu, atakayeleta fyoko fyoko, akipotezwa, msinililie -Sizonje 2030
 
mko bize na bashite ndio ajenda yenu kubwa ya kitaifa, na kulaumu tu

mpaka akili ziwaingie mnakuwa vizee kama raila odinga na mnaiacha ccm

muda mwingi upinzani unacheza muziki wa ccm

mnakuwa side moja ya ccm huyu, against ccm yule

next day mnashangaa mmepigwa chini EALA, akili zinakuja ccm ni wale wale, mnaishia kutukana

upinzani ni kama mbwa asiye attack anasubiri paka na panya ndio wabweke!!

THEN......mwisho wake Mnyika anataka CCM waweke mfumo??? ...

Ni muda mzuri wa kuamka na kuwaza tume huru ya uchaguzi, CCM haiondoki kwa hizo wishes, na wala hawatamsiliza, ni nzuri akojoe alale, maana tushasema sana

au kuna jipya??
Well spoken !! Hapa inatakiwa tupige kelele ya Katiba mpya ! Tume huru ya uchaguzi ......!! Upinzani wamekaa kama vibaraka wa ccm hawana dira wapo wapo bendera fata upepo. Wako kama fisi wanasubiri mkono udondoke ....
 
Anatakiwa kuweka "Mifumo". sio kila siku Tumbua Tumbua.

my take.
CAG report. Tumbua Tumbua=0. hela zetu bado zinaibiwa Na kupotea.

katiba mpya haiepukiki
huyu naye alimwita raisi mstaafu dhaifu...
alimwita waziri mkuu mstaafu fisadi....
mwisho wa siku, dhaifu wanamkumbuka, fisadi wako naye... team moja!
kuna wakati maneno ya wanasiasa usiyaamini sana!
 
Back
Top Bottom