MKUU hayo ni mambo yamakusidi kabisa yanayofanywa na ccm kuwakomoa kwa kuwa jimbo lipo chini ya upinzani.mnasulubiwa weee ili next time mchague ccm
mimi kwa siku nanunua maji ya alfu kumi, yaani dumu moja alfu moja, dumu kumi ndio natumia. mabomba yapo hadi ndani lakini hayatoi maji huku kimara. nashindwa nisemeje.
Lakini hata mambo yaliyo ndani ya uwezo wake anashindwa?
Ajifunze kutoka kwa wenzake jimboni ndiyo haonekani kabisa hata kama uko busy namna gani? Angalia Mwakyembe aliacha ofisi akapita mala moja bungeni kisha akaenda Kyela jimbo lake limekumbwa na mafuriko, hata kama hakuzuia mafuriko lakini wapiga kura wake wamepata faraja mnyika wapi bana hana lolote mwakani atafute jimbo lingine tu. amewaongezea umaskini wapiga kura wake kwa kununua maji kila siku.
Lakini hata mambo yaliyo ndani ya uwezo wake anashindwa?
Ajifunze kutoka kwa wenzake jimboni ndiyo haonekani kabisa hata kama uko busy namna gani? Angalia Mwakyembe aliacha ofisi akapita mala moja bungeni kisha akaenda Kyela jimbo lake limekumbwa na mafuriko, hata kama hakuzuia mafuriko lakini wapiga kura wake wamepata faraja mnyika wapi bana hana lolote mwakani atafute jimbo lingine tu. amewaongezea umaskini wapiga kura wake kwa kununua maji kila siku.
Book 7 kwa kuropoka hamjambo. Kwa taarifa yako Mnyika alitembelea jimbo lake nankuangalia athari za mafuriko. Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki zimerekebishwa na sasa zinapitika. Kuhusu maji jimbo hili lilikuwa mikononi mwa CCM miaka nenda rudi na kero ya maji haikutatuliwa. Sasa mlitegemea Mnyika afanye muujiza ndani ya miaka 5 maji yapatikane? Na mbona tatizo la maji ni la mji mzima wa Dar au na huko Mbunge ni Mnyika?
Acheni kuropoka na kujifurahisha hapa JF Ubungo litaendelea kuwa jimbo la Mnyika hata CCM mkimsimamisha Kikwete atapigwa chini tu.
Tiba
Mimi sipendi siasa ila huyu jamaa ubunge umemshinda! Mnyika hakuja ubungo alituma salamu tu toka bungeni! Keenja alikuwa anafanya vizuri mradi wa maji ya wachina! alipoingia yeye akaharibu.
In short hili jimbo ni kubWa kuliko uwezo wake! Eti hawezi kutatua matatizo hakusanyi kodi Sasa kuna umuhimu gani Kuwa na mbunge??
Wenzake wanaweza yeye ashindwe kwanini? Hata wachaga wenzie hawamtaki kumuona kabisa amalizie muda wake aondoke.
Ndo majibu yako haya unayopewa mkuu Msusu. Cha maana wewe ni kuvumilia hadi 2015 uende kuwaadhibu CHADEMA kwenye boksi la kura.
CHADEMA ni chama cha matapeli.
Wabunge wote wa CHADEMA ni matapeli al maarufu wachumia tumbo.
Tapeli mkubwa (Dr. Slaa) yeye hadi leo hii analipwa hela ya ubunge na wakati yeye siyo mbunge.
Muunganishe nguvu muweke kifusi. Mnyika hakusanyi kodi
Povu litaendelea kuwatoka lakini kijana anachapa kazi. Wewe unaweweseka mpaka kumuita Mnyika mchaga. Ni wachaga wenzake wapi hao unaowasemea wewe hapa. Kwa taarifa yako mradi wa Wachina ulikufa shortly baada ya Lowassa kujiuzuru uwaziri mkuu na wakati huo Keenja akiwa Mbunge. Hebu twambie Keenja alifanya nini? Acha kuleta uharo wako hapa.
Tiba
Sina povu poleni sana utaperi wenu msilete kwa wananchi Mnyika amefanya kitu gani?
Anyway mtaishia hivyo hivyo hamuwezi hata kuhoji chochote ndani ya chama chenu kwa kuhofia kuitwa wasariti.
Ktk majimbo msituletee hilo! Mimi naishi kinondoni Idd Azan amerekebisha miundo mbinu vizuri sana na barabara za mitaani,
Huyo mnyika wenu jiandaeni kumpokea 2015 anarudi mtaani atakuwa anashinda hapo makao makuu yenu mtaa wa mateja ya unga na nyuma makaburi na chimbo la dada poa. Eti chama kikuu cha upinzani kila mwezi mnapata ruzuku ya 350M hata kununua nyumba ya 200M mfanye makao makuu mmeshindwa?? Mnajaza matumbo ya viongozi wenu na kuendelea kutanua na vimada wao huku wakiwa wametekeleza ndoa zao shame shame.