Sisi wana wa Kibamba tumeshanwambia mnyika akasaidie majimbo mengine huko kutangaza ilani ya ukawa hp atuachie sisi. Arudi 2 weeks before uchaguzi aje kuwind up tu! Ubunge ni wake tu!
ccm hatakama itakuja na doza hakiwezi kuzuia mabadiliko. Watanzania tuko vitani tukaze boot tusiyumbe hata kama lowasa atabaki pekeyake lazima tumpe kura..kukiondoa chama dola zio mchezo! Tutasikia mengi mno kwa maana dola ya kifisadi na rushwa inadondoka!
mabadiliko...lowasa...lowasa....mabadiliko
tumechoka kuendelea kuwa mateka wa ccm
Mwaka huu CCM hawana bahati
WEWE HUyo Mnyika wenu kafanya nini kule Ubungo? eleza hapa
Hakuna la maana mnyika alilofanya ubungo. Hakuweza kushirikiana na watu wake pale walipokuwa na shida na waliponyanyaswa na ccm alikaa mbali. Yeye kazi yake kupiga domo tuuuu barabarani lakini sio kutetea watu wake.
Kwa mfano.... kituo kilipovunjwa. wakazi wa terminal walipolia kufunguliwa maji machafu na kinyesi hakuonekana, walipotaka kunyanganywa ardhi eti ni wavamizi wa stand ya mkoa hakuonekana, na matukio mengi tuuu.
Mnyika ni mzuri kwenye upigaji wa debe la chama, sio kwa maslahi ya wananchi na hawatamuona jimboni hata siku moja, wataishia kumuona akipigana bungeni

Siasa usiiwekee. %100. Utakujaa kufa. Kwa aibu. Hakuna linalo shindikana katika siasa. Na ingekuwa watu wote wanaimani kama yako basi hakuna mtu angepiga kampeni. Na hakuna sababu ya kufanya uchaguzi.