Mnyika ni mbunge tayari

Mnyika ni mbunge tayari

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wahenga walisema kuwa chema cha jiuza na kibaya chajitembeza, John Mnyika kwa kushindanishwa na Mkangala ni kama CCM wameamua kumzawadia Mnyika hilo jimbo la Kibamba maana haiingii akilini ni kwa vipi Mkangala anaweza kushindana na Mbunge maarufu kama Mnyika maana hata Kinana kati ya wizara alizowahi kusema zina waziri mizigo ni pamoja na alikokuwapo Mkangala.
 
Jimbo la u ubungo haliwezi kwenda CCM hata cku moja, hata Kibamba pia CCM hawapati kitu!
 
Sisi wana wa Kibamba tumeshanwambia mnyika akasaidie majimbo mengine huko kutangaza ilani ya ukawa hp atuachie sisi. Arudi 2 weeks before uchaguzi aje kuwind up tu! Ubunge ni wake tu!
 
Sisi wana wa Kibamba tumeshanwambia mnyika akasaidie majimbo mengine huko kutangaza ilani ya ukawa hp atuachie sisi. Arudi 2 weeks before uchaguzi aje kuwind up tu! Ubunge ni wake tu!

Hapati ng'oooo miaka laki 8
 
mnyika wewe unashida gani hapa kibamba sisi tunakukubali toka enzi za mama anna makinda sasa hofu yako iko wapi...nenda kasaidie majimbo mengine ila after two weeks come back...wiki mbili zinatosha kutukumbusha ilani ya chama pamoja na nini utatufanyia miaka mitano ijayo....

peoooooooooplezzzzzzzzzzzzzz
 
Mwaka huu CCM hawana bahati

Msimtetee huyo Mnyika ambaye alikimbia kule jimbo la Ubungo kwa kuwadanganya wanaubungo bila ya kufanya chochote kile, sasa anakuja kuwadanganya na huko, hahaha tena wala sio mbali hapo na Ubungo, HATUDANGANYIKI NG'OOO
 
Tuliza manyoya kombe la kibamba linaenda ukawa,na mnyika kazi yake ni kuwashinda wagombea wa CCM rejea hawa Ng'umbi
 
Waendelee kumsuka twende kilioni mana mwaka huu hakuna kukanyaga bungeni kirahisi rahisi.

Yule ktk watu ambao tumaini la kurejea bungeni ni 0 maana hata kujieleza kwenyewe ni taabu
 
Msimtetee huyo Mnyika ambaye alikimbia kule jimbo la Ubungo kwa kuwadanganya wanaubungo bila ya kufanya chochote kile, sasa anakuja kuwadanganya na huko, hahaha tena wala sio mbali hapo na Ubungo, HATUDANGANYIKI NG'OOO

Wewe kila jimbo upo, umejiandikisha mara ngapi? Uwe unafunga gavana vidole vyako.
 
Tuliza manyoya kombe la kibamba linaenda ukawa,na mnyika kazi yake ni kuwashinda wagombea wa CCM rejea hawa Ng'umbi

Mkuu alafu ccm naona wanampendelea mnyika maana washindani wake woote ni tia maji tia maji
 
Sawa Jay milioneya. Tulishaamua zamaniiii! Viva Mnyika, viva Lowasa, viva Ukawa!

Mkuu kwa mkoa wa DSM mwaka huu ccm wanaweza kunawishwa kabisa wasipate hata jimbo
 
mnyika wewe unashida gani hapa kibamba sisi tunakukubali toka enzi za mama anna makinda sasa hofu yako iko wapi...nenda kasaidie majimbo mengine ila after two weeks come back...wiki mbili zinatosha kutukumbusha ilani ya chama pamoja na nini utatufanyia miaka mitano ijayo....

peoooooooooplezzzzzzzzzzzzzz

Powerrrrrrrrr,naona dsm yoote inaenda ukawa na magamba labda ubunge wategemee msoga
 
ccm hatakama itakuja na doza hakiwezi kuzuia mabadiliko. Watanzania tuko vitani tukaze boot tusiyumbe hata kama lowasa atabaki pekeyake lazima tumpe kura..kukiondoa chama dola zio mchezo! Tutasikia mengi mno kwa maana dola ya kifisadi na rushwa inadondoka!

mabadiliko...lowasa...lowasa....mabadiliko
tumechoka kuendelea kuwa mateka wa ccm

Kweli mkuu hata wakileta propaganda chafu kiasi gani sisi ni lowasa na uzuri hata vijijini safari wanamjua lowasa kuwa ndiye rais
 
Back
Top Bottom