Mnyika nae apinga kufungiwa Magazeti

We Ben mtu akikuangalia kwa harakaharaka anaweza kudhani mtu mwenye busara,hekima na unafanya mambo ki taaluma! Kumbe huna lolote kichwani (brain washed) hiyo hoja unayoiweka hapa ina uhusiano gani na nilichopost hapo? Tumia ubongo kufikiri sio masharubu!

Hivi nyie magamba ni lini mtavaa ufahamu, mfikiri kama watu wenye akili timamu?! Mpo kama mataahira. Hoja haiwezi kujibiwa na personal attacks, hujibiwa kwa hoja. What hell are you?!
 
Vyombo vyetu vya habari vinatafunwa na ubinafsi,na ninadhani vinaongozwa na viongozi waganga njaa na mamluki wa serikali,serikali ilipolifungia mwanahalisi wakapiga kelele za kizugaji kisha wakapotea kimtindo,sasa serikali inajua inaweza fanya lolote kwa vyombo vya habari na isifanywe kitu.Kimsingi issue ya Mwanahalisi vyombo vya habari vilitakiwa viifanye bado mbichi sana mpaka sasa hivi kwasababu gazeti liliandika habari ya ukweli lakini kwasababu ya hawa watu waandishi wetu mamluki wa serikali hawa kulipa tumbo nafasi ya kichwa,ndo matokeo yake haya.Lakini kama serikali ingebanwa kwenye ile issue mpaka kieleweke leo hii wasingediriki kufungia chombo kingine cha habari kwa sababu za ovyoovyo tu.
 
Back
Top Bottom