Mnyika na kanuni za bunge

Mnyika na kanuni za bunge

Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru Mwenyekiti aliyeongoza Bunge leo Mh Mhagama kwa kuwa imara na kuzima miongozo yako na kuifafanua kwa ufasaha,uwe unajipanga kwanza kabla ya kuongea

Possibly hata ndo matatizo ya shule za kata;

Ndugu kajipange vizuri, ni dhahiri Mnyika humfahamu vizuri, unamusikia tu kwenye TV.
 
Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru Mwenyekiti aliyeongoza Bunge leo Mh Mhagama kwa kuwa imara na kuzima miongozo yako na kuifafanua kwa ufasaha,uwe unajipanga kwanza kabla ya kuongea

Hizi zile bia aina ya BINGWA bado ziko kwenye mzunguko sokoni?
 
mimi nimechagua kumwambia mbunge, yeye pia ana haki ya kusikia kilio cha watu wake. wewe uwe na amani Mnyika hatalipokea ulivyolipokea wewe, anajua wajibu wake.
Bila shaka ulipoamua kui-post
concern yako ulijua kwamba umepanua wigo wa majibu!Ungalitaka ujibiwe na mbunge peke yake ungalimtumia sms!Kwa kuandika kwenye jukwaa ulitarajia kujibiwa na wana jukwaa! Pa1 na mbunge kujua majukumu yake, hukujihangaisha kujua kwamba mbunge si serikali!Kwa kukwepa kutoa kilio chako kwa Rais ambaye aliwahi kutamba kwamba akisema kamata SLAA atakamatwa, LAKINI anashindwa kusema PELEKA maji yakapelekwa! Kukwepa hilo ndiko kumekufanya uonekane kama mtu mwenye agenda ambayo imekwama mapemaaaaaa!
 
Matatizo ya jimbo lake ameyapa kisogo na kukomaa na miongozo . ndo tatizo la wwkilishi wanaojifanya wasomi na huku wakisahau majukumu yao
 
Kwan unafkiri hatujui kwamba 2005 MNYIKA alichukua milion mia 3 baada ya kushinda ubunge Hapo ubungo ili aliache kwa Ccm! Baada ya kushinda? Jaman huyo jamaa mbona ni kibaraka 2 wa magamba na 2015 jimbo anamuachia Nape haya ye2 macho
 
unatafsiri kila kitu kwa mlengo wa kampeni za siasa, tunahitaji maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaji!

Back
Top Bottom