MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Mh Mnyika,hivi ni kweli kanuni za Bunge huzijui,zinakupiga chenga,una haraka au ndo ile ya kutaka uonekane ukiongea na picha kesho ionekane ukurasa wa mbele wa Tanzania daima,namshukuru Mwenyekiti aliyeongoza Bunge leo Mh Mhagama kwa kuwa imara na kuzima miongozo yako na kuifafanua kwa ufasaha,uwe unajipanga kwanza kabla ya kuongea
Sasa wadau wachangie nini wakati umeshahitimisha wewe mwehu.Akili yako ndogo sana wewe ndio mana unafikiri kwa kutumia masaburi.