PreGE2025 Mnyika: Msajili aseme amempa Siku ngapi Makalla madai ya CHADEMA kununua Virusi vya Ebola

PreGE2025 Mnyika: Msajili aseme amempa Siku ngapi Makalla madai ya CHADEMA kununua Virusi vya Ebola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msajili kuibeba CCM hutaweza, lile ni zigo lanye dhambi kibao lililoshindikana.

No reform No election.
 
Ukitafuta chimbuko la haya mambo utagundua Mwalimu Nyerere ndo alituchoma
Huo ndo ukweli Nyerere ndo aliingiza siasa kwanza Majeshini kuogopa kupinduliwa huyu mzee amna kitu ndo maana kwangu Mandela ni Bora
 
Cha ajabu mambo yanaweza kwenda kinyume nyume yaani Makala akampa siku 7 msajili aifute barua yake.
 
Back
Top Bottom