Josorobert
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 629
- 215
Ashapoteza tayari huyo.
Wala Verily Verily hajakimbia. Sema hakuna hoja zenye mantiki toka kwa hawa 22% wanaomtetea J. Mnyika.
Ukweli uko pale pale, John Mnyika yuko kwenye hatihati ya kutorudi bungeni. Period.
Mnyika hajawahi kuwa mbunge wa maana hata siku moja ni kilele tu ndiyo anaziweza.
Ashapoteza tayari huyo.




Ccm wameshindwa kuleta maji kwa miaka yote aweze mnyika kwa miaka mitano?Ndugu John Mnyika (MB Jimbo la Ubungo)ambaye anagombea jimbo la Kibamba yuko hatarini kupoteza jimbo la Kibamba, pamoja na kuwa kitaifa ni miongoni wa wabunge bora kabisa kwa sasa.
Wasiwasi wa kupoteza jimbo la kibamba inatokana na mambo yafuatayo:
1. Kushindwa kabisa kushughulikia suala la ukosefu wa maji kwa miaka nenda rudi maeneo ya Mbezi, Kima, Ubungo na Kibamba. Je nini tofauti yako kama mpinzani, katika kero hii , na wabunge wa CCM waliokutangulia?
2. Kusuasua kwa miradi ya barabara katika maeneo hayo
3. Kutokuwa karibu na wapigakura wake vya kutosha. Mfano simu zake zote hazipatikani.
4. Kuwa na mshindani imara Dr. Fenella Mukagara na ambaye yuko makini sana na masuala ya msingi san yaani maji na barabara
Najua litakuwa ni pigo kwa taifa kwa mtu kama John Myika kukosekana katika bunge lijalo lakini hio ndo hali halisi.
Mheshimiwa J.Mnyika kama kweli una utetezi kuhusu jinsi unavojipanga kushughulikia (kwa maana naamini kwa miaka mitano iliyopita najua hakuna tangeable achievement) kero hizo hebu njoo hapa ujibu. Usiunder-estimate nguvu ya mtandao katika masuala ya kampeni hasa kwa mwaka huu.
Tunasubiri kusikia toka kwako Ndugu J. MANYIKA.
MNYIKA John John ‏@jjmnyika 57m57 minutes agoView translation
Nawashukuru sana wakazi wa mitaa ya Kata ya Goba ambao wananilaki kila ninapopita na kusimamisha msafara wangu!
Aanguke tu huyo Mnyika maana hamna namna nyingine