Mnyika Kwa nini utoe taarifa za wapi alipo Heche, kwani wewe ndo ulimkamata?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Katibu wetu wa Chama umenikera mno leo Kwa mara ya kwanza

Kwanini utoe taarifa za wali alipo makamu Mwenyekiti wetu?

Kwani wewe ndo ulimkamata?
Police wamekaidi kutoa taarifa za wapi alipo, wewe Kwa kiherehere chako umeharibu kila kitu

Ona tumekosa pa kuanzia
Wakurya huko Tarime washapandisha moto na kuwapa polisi siku 1

Umeshusha morali kidogo ya kuliamsha na maandamano na umenikera mno

Kwanini usingekaa kimya katibu wangu?
Hii kazi ya Heche ungetuachia sisi wananchi

Japo nimekusamehe Kwa Sasa, ila usirudie tena
 
Kwani pamoj na hayo mmeshindwa kufanya mnalotaka? Mna ham ya kufa nyinyi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom