Mnyika kuibua ufisadi mpya ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika kuibua ufisadi mpya ubungo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Jul 23, 2010.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  KAMANDA mpambanaji wa CHADEMA john john mnyika anatarajiwa kuibua ufisadi unaofanyika kwenye jimbo la ubungo na manispaa ya kinondoni kwa ujumla habari hizo toka chini chini zinasema mbunge huyu kijana anakamilisha dondoo za mwisho mwisho ilikuibuka kamili katika tuhuma hizo wamo vigogo amabao wamekwisha anza kuvyamia badhi ya maofsi na kutoweka na baadhi ya nyaraka hizo ili kamanda MNYIKA asifanikishe adhima yake na BAADHI ya tuhuma hizo ni zile za aridhi ambazo kuna wakubwa wamelindwa huku baadhi ya watumishi wakiadhibiwa na akubwa hao kuendleea kupeat kilaini ........ mungu mbariki mnyika katika kufanikisha adhima yake ya kutetea umma wa ubungo na watanzania kwa ujumla keep it up mnyika
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kilewo, hivi tayari huyu askari ameshaukwaa ubunge?? angalia usimwaribie kwa TAKUNGURU....:tape:
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mnyika namuombea kila la kheri, na Mungu atamuwezesha kuwashinda CCM jimboni humo...ila ushauri wangu wa bure aachane na kampeni nyepesi nyepesi kama hizo, ajipange kama Januari Makamba vile kuwaelezea wananchi wa Ubungo atawafanyia nini wakimpa ubunge?
   
 4. M

  Msharika JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dear Mnyika
  make grass root campaign, stage campaign you will not get majority votes, all the best, Remember many votes from UDSM will not be there for u.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Junius,
  Hivi Januari Makamba kajipangaje? Kwa kuandika kitabu cha Kiingereza kwa wana Bumbuli? Mnyika naye aandike chake kuhusu Ubungo?
   
 6. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Jasusi,
  Kujipanga ni kitu upekee cha mgombea kinachomtafautisha na wagombea wengine...kama Januari Makamba kaandika kitabu (kumbukumbu zangu ni kuwa kitabu hicho pia kitapatikana kwa lugha ya kiswahili) walau katwambia kile alichokuwa nacho moyoni mwake na anachokusudia kuwaambia wananchi wa Bumbuli wamchague, na Mnyika naye ajipange kitofauti na wagombea wengine..habari za ufisadi kama ndo kigezo basi jimbo la Ubungo angegombea Lukuvi!
   
 7. w

  wamlaga Member

  #7
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mnyika ninakutakia mafanikio katika kuukwaa uwakilishi wa wananchi wqa ubungo. Ni imani yangu umejipanga vema na mkakatio wa serikali kukunyima kura za udsm na ndio maana wamelazimisha vyuo kuchelewa kufunguliwa. hofu ni wewe, si unajua ulivyobeba kura pale UDSM? wewe ni mshindi, tumia kila mkakati halali ili ushinde .
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hicho kitabu cha Januari amegawa bure kule Bumbuli ama bwembwe zake tu, hivi kweli wanaBumbuli watanunua kweli hicho kitabu cha Januari?? na matatizo tuliyonayo maisha ya kuchakachua hata ada na pesa ya daftari haipo??
   
 9. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kilewo,
  Tangu lini Mnyika amekuwa mbunge? Au ndiyo tunguli lenyewe....mmmh. No matter what namuombea kila la KHERI mpiganaji Mnyika na wengineo katika vinyang'anyiro vya ubunge popote Tanzania.
   
 10. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #10
  Jul 24, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  kamanda mnyika ndiye aliye kuwa chaguo la ubungo ndiyo maana namuita mbunge wa ubungo na si yule wa kupewa so tupo naye bega kwa bega
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mnyika is my idol ktk siasa.
  Akifanikiwa, nimefanikiwa, asipofanikiwa tutafanikiwa
   
Loading...