Kumbe kazi za mbunge ni kuleta maji, kuchimba barabara, kujenga hospitali? Rejeeni wajibu na majukumu ya Mbunge hakuna hayo mnayo jadili, Kazi yake ni kutungasheria na kuisimaamia serikakali kuelekeza rasilimali za jimbo na nchi katika kuwaletea maendeleao wananchi kwa kujenga barabara, hospitali, na shele badala ya kuzipeleka Uswisi.sasa kumbe watu mnapenda kuongopewa eeh! manake mimi ni miongoni mwa watu ambao niliwah kusema mnyika anataka kudumaa kisaisa kwa hli jimbo. na wakati nasema nilionekana niviroba lkn wachambuzi wa siasa walisema ni kweli.hatuwez kumtegemea amalize haya yote kwa mara mja ila kule alikofanya apewe hongera zake na siyo kuonekana kana kwamba hajatend kabisa.
Simple.big up Mnyika umejitahd sana. lakin je wafikiri ni kwanini hawa wabunge wa CDM wameweza kufikia hapo?
Kimbunga mbona unakuwa na roho ya kijicho dhidi ya Mnyika?
Mkuu mbona unachekesha walionuna, kwamba temeke iko juu ya ubungo, kwa kitu gani?
Unawezaje kulinganisha utumishi wa Mnyika wa miaka miwili na nusu dhidi ya miaka kumi ya keenja? Kitu gani alichofanya keenja unachoweza kukitaja kama mafanikio dhidi ya mnyika?
Mara moja moja ujitahidi kuficha chuki zako zisizo na msingi wowote. Kazi aliyoifanya Mnyika katika kipindi hiki kifupi hakuna mbunge yeyote wa ccm aliyemfikia.
Aliyofanya yapi ebu yaweke humu jamvini tuyaone sio maneno matupu.
Barabara za Kilungule ni dhoflihali! Bonyokwa hakuendeki, King'ong'o hakuna njia, Ubungo Kibangu shida!
Kigoma ikiwa Dubai itamsaidia nini Mnyika akija kuomba kura. Wakati anatuahidi kushughulikia kero ikiwemo hiyo bara bara alikuwa kalewa?
Kusema kuwa jk ni dhaifu.
Kusema kuwa jk ni dhaifu.
Anaonewa vipi wakati yeye kinara? Hivi vijisababu eti Keenja kakaa miaka mingapi ni vya kisengelema. Siku tukiwapa nchi CDM watakuja na majibu hayo hayo CCM imekaa miaka 50. Wakati anaomba kura Mnyika alisema ataondoa hizi kero na akirudi atapimwa kwa hilo sio idadi ya miongozo ya spika.
Kumbe kazi za mbunge ni kuleta maji, kuchimba barabara, kujenga hospitali? Rejeeni wajibu na majukumu ya Mbunge hakuna hayo mnayo jadili, Kazi yake ni kutungasheria na kuisimaamia serikakali kuelekeza rasilimali za jimbo na nchi katika kuwaletea maendeleao wananchi kwa kujenga barabara, hospitali, na shele badala ya kuzipeleka Uswisi.
Serikali ya magamba haiwezi kuboresha huduma kwenye majimbo ya wapinzani mpaka wananchi msaidiane na mbunge wenu kuibana serikali hii ya dhaifu!
Hivi wewe kama mkazi wa maeneo hayo, kwenye yale maandamano ya kudai maji ulikuwepo? Au kazi yako ni kubofya baobonye hapa JF na kulalamika? Bila wananchi kushirikiana na mbunge wenu kuishinikiza serikali, mtamlaumu tu kijana japo anafanya kila lililo ndani ya uwezo wake laikini ccm kamwe hawawezi kufanya yale anayoyalalamikia mbunge wa upinzani!
Hongera wabunge wa Chadema,Hongera wabunge wapambanaji....Tutafika tu!