Mnyika is the most brilliant lawmaker!

Si sahihi ili uwe mtunga sheria lazima uwe na degree na hata wewe kama mwanasheria hujui kigezo cha kikatiba cha mtunga sheria kinasemaje ili apate sifa ya kuwa mtunga sheria. Tuache ushabiki kwenye jema lazima tupongezane .

Wabunge wanatunga sheria au wanajadilli na kupigia kura sheria zilizotungwa na wataalamu wa sheria? Hilo la kusema wabunge wanatunga sheria ni tu kuwapa kilemba cha ukoka na wao wajisikie wamo.Lakini hana kitu.Serikali kupitia wanasheria wake hutunga sheria na kuipeleka bungeni kujadiliwa na kupiga kura.
Mnyika atunge sheria jamani pana kichwa cha kutunga sheria pale ukiangalia kale ka kichwa ka Mnyika?
Au Mbunge Sugu anaweza tunga sheria yule?
 

Huu ni Upuuzi at its best,Mtu anapeleka hoja ili ajijenge yeye,thata selfishness at its best,ESCROW nani hajui kuwa ni issue ya Kafulila,and ontop of that,hivi umeshawahi kujiuliza kwamba hizo hoja wanazitoaga wapi,wanaoteshwa ndotoni ?si watendaji tu wa Serikali ndio wanazivujishaga kwao.
Haya Mapenzi yenu kwa Msaliti mwishowe atawatia ujauzito nyote kabisa
 
Tatizo watanzania tumeaminishwa vyeti na mashahada kibao ndio usomi but vyote havina maana kama hauwezi kudeliver kulingana na mavyeti yako. Hata kama hana degree but anaperfom majukumu yake kwa weledi kwa nn tusimpongeze. Hata wanaodai zitto ndio mbunge bora kuzidi wengine kwenye kuobua hoja inaweza kuwa sawa lakini kwenye utungaji wa sheria kama mtoa mada alivyosema basi hata zitto hamfikii mnyika kwenye hilo.
 

Hoja ni ya Kafurila fine, huyo Mnyika mnayemsema alikuwa wapi? Afterall Kafurila mlimfukuza CDM mkisema ni sisimizi tu! Aliyeagiza CAG kuchunguza suala la ESCROW ni PAC ambayo ilikuwa inaongozwa na Zitto na ripoti ya PAC ndio iliyowaondoa mawaziri na kupelekea baadhi kuhojiwa na tume ya maadili

Hata kama document zinatoka kwa watu wa serikalini, mbona hawakuzipeleka kwa Mnyika, Mbowe au Lissu?
 
Mnyika ni sawa na!!! wabunge 100 wa ccm!!!
 
Ivi wabunge wanatunga sheria au wanapitisha miswaada ya sheria?
 

Huu ndi ishabiki tunaoukataa hapa ndani, Hivi wewe ukitoa chuki zako kwa Mnyika, Mahaba yako kwa Zitto na Mapenzi yako kwa ccm huwezi kuona mchango wa Mnyika ktk scandal ya Escrow???

Acha upuuzi wako hapa ndugu...!!!!

Kwanza mbunge aliyeibua sakata la Escrow ni Kafulila pekee, huyo Zitto alikua akisoma ripori ya CAG na TAKUKURU kupitia nafasi yake kama mwenyekiti wa kamati ya PAC/POAC kamwe hakuibua chochote kwenye sakata lile, Kama ni mtu wa kum-address hapa alipaswa kuwa ni Kafilila pekee, huyo Zitto unamtoa wapi ndugu???

Anyway mchango wa Mnyika ni mkubwa tu kwenye sakata lile na ni yeye aliyeliibua tena hapo jana, kama hutaki katafute Hansard za Bunge... aalaaaah!!!!

BACK TANGANYIKA
 

Tuache siasa ndugu.

Anyway,hata wewe ulikuwa na haki ya kuanzisha uzi juu hayo uyasemayo.
 

Umefikiri vyema na hlo halina ubishi.
 
Baada ya ZZK sasa ni Mnyika;
................. Maji ubungo tu ndio msiba wake................
 
Ivi wabunge wanatunga sheria au wanapitisha miswaada ya sheria?

Wabunge wengi ni wavivu tu na sidhani kama hata huwa wanapitia hiyo miswaada.Wengi kazi yao ni kusema ndio tu.Yaani wanakera sana.
 
Nilivyomsikiliza leo wakati anaongea kwa niaba ya Mh. Wenje nimegundua kuwa kinachoharibu mawazo yake mazuri ni wingi wa ndio za CCM. Mnyika anastahili kurudi bungeni November bila kupingwa.
 

Anzisha na wewe thread mpya kuhusu zitto itakuwa vyema sana.
 

Mbona maji hajaleta Ubungo kazi kubwabwaja tu!
 

Ukiacha chuki pembeni Mnyika ni jembe naamini 2025 atakuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…