Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,941
- 1,011
Nijuavyo kama unaishi kimara utapiga kura kimara na ikiwa umehama utaenda kujiandikisha kwenye makazi mapya wakati wa kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura. Hii ya kukaa Arusha na kupiga kura Ubungo ni mpya kwangu sorry lakini kama nitakuwa nimekosea ila mimi hivyo ndio nijuavyo!
Pole!! Unahitaji kujua zaidi. Naomba kamsome vizuri mtoa maelezo hasa baada ya zile sehemu ulizo colour & bold,utapata jibu. Ukiwa mbishi na msahaulifu hutaliona jibu. Labda kwa kukusaidia kafanye H/Work hii.
1. Wakati marekebisho ya daftari la kupiga kura yanafanyika wanavyuo wa UDSM, DUCE, MUCE, RUCO, SUA, UDOM, MZUMBE, MUHAS, etc walikuwa wapi?
2. Wakati wa kampeni hadi uchaguzi wa 2010 wanachuo walikuwa wapi?
3. Kwanini walikuwa huko walikokuwa wakati wa kupiga kura na wasiwe kule tulikotegemea/tulikotarajia?