Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Mnyika "Mpaka sasa nimeandika
kurasa 21 za mchango wangu
kuhusu majumisho (final
submission) kutoka katika rundo
la rejea za hukumu mbalimbali
zenye misingi muhimu ya kisheria
(fundamental legal principles).
Naendelea na mkesha kama wa
Loyola kupitia kurasa 111 za
mwenendo wa kesi (court
proceedings), Nikimaliza
namwachia wakili wetu aendelee
kwa upande wake, tutakutana
mahakamani kesho tarehe
4 Mei 2012. Nasikia adhana, Hayya
alas-swalaah; Tulitafuta kura
pamoja, tukapiga kura pamoja,
tukazilinda kura pamoja;, kwa
pamoja tutaendelea kushinda.
AMUA: Maslahi ya Umma Kwanza"
 
safi sana,tuko pamoja na tutashinda pamoja!

people's powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Kwani wewe mla urojo mambo ya Tanganyika yanakuhusu nini??

Kiherehere chenu pelekeni Barazani, 'sisi hatukai barazani pa watu wenye mizaha'!!

Nyambaf!!

The leader of genius must have the ability to make different opponents appear as if they belonged to one category-Adolf Hitler
 
Kila la kheri Mhe. J. J. Mnyika,
Na Mungu akatangulie kwani katika yeye Haki Hutawala dhidi ya Giza na Udhalimu wa shetani.
 
Tutashinda John, usiogope, hata Kikwete hataki utoke bungeni, trust me! Nilidrive toka arusha na vijana wenzangu tukaja kupiga kura ubungo maana huko ndo yulijiandkisha tukiwa UDSM.
 
Mkuu kuna tetesi wewe ndio Mnyika ni kweli au majungu ya watu?

mkuu wangu tume ya katiba! Hebu tulia humu kwani unavyofanya unawadhalilisha bure wananchi wenzako wa kwenu pemba so unapoona sisi watanganyika tunatoa mawazo yenye akili basi na ww jitahidi kuwa kama sisi watanganyika.
 
Kwani wewe mla urojo mambo ya Tanganyika yanakuhusu nini??

Kiherehere chenu pelekeni Barazani, 'sisi hatukai barazani pa watu wenye mizaha'!!

Nyambaf!!

Msamehe bure we umeshasema yuko barazani je unategemea nini kutoka kwa mtu aliyeko barazani na barakashea na kanzu kutwa; ni lazima pointi zitamwishia na kuanza kubwabwaja.!!!
 
Huyu jamaa nayejiita "tume ya katiba" ni mjinga sana anatafuta umaarufu wa kijinga hapa JF kwa kudandia thread za watu kwa kutoa vague comment atakuja kuishia kuchapwa vibao hata wakina Ritz na Rejao hawako hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom