Mnyika (CHADEMA) azungumia kesi inayomkabili

Mnyika "Mpaka sasa nimeandika
kurasa 21 za mchango wangu
kuhusu majumisho (final
submission) kutoka katika rundo
la rejea za hukumu mbalimbali
zenye misingi muhimu ya kisheria
(fundamental legal principles).
Naendelea na mkesha kama wa
Loyola kupitia kurasa 111 za
mwenendo wa kesi (court
proceedings), Nikimaliza
namwachia wakili wetu aendelee
kwa upande wake, tutakutana
mahakamani kesho tarehe
4 Mei 2012. Nasikia adhana, Hayya
alas-swalaah; Tulitafuta kura
pamoja, tukapiga kura pamoja,
tukazilinda kura pamoja;, kwa
pamoja tutaendelea kushinda.
AMUA: Maslahi ya Umma Kwanza"

Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?

Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!

Kwani kwenye hiyo mesej ya mnyika imeandikwa "Dear Tume ya Katiba?"

Meseji kaituma kwa anaowajua yeye na wengine tunaojua kuwa inatuhusu. Hii wala haikutumwa kwenye inbox yako wala haja ku- PM umefungua thred mwenyewe na kusoma kisha ukajipendekeza. Kwa maana hiyo huna tofauti na wale wadada wanaojiuza pale sewa na kimboka au desire pub kule bukoba. Una kihere here kuliko hata shoga.
 
Hivi hoja za mlalamikaji/walalamikaji ni zipi? au nae wanasema alitumia lugha chafu?aliiba kura?

Hoja mojawapo ni matumizi ya laptop 4 za Mnyika kujumlishia matokeo BADALA ya kutumia Laptop za Tume ya Uchaguzi tu kama ilivyoanishwa katika kanuni za uchaguzi
 
Ndugu watanzania wenzangu tuweke ushabiki pembeni, tumwamini Jaji na mahakama nzima kwa uamuzi wowote utakaofikiwa. Vinginevyo atakaeona ameonewa APANDE MAHAKAMA YA RUFAA mara baada ya hukumu husika
 
Hoja mojawapo ni matumizi ya laptop 4 za Mnyika kujumlishia matokeo BADALA ya kutumia Laptop za Tume ya Uchaguzi tu kama ilivyoanishwa katika kanuni za uchaguzi

Hivi wanao wanajua unachopostigi humu JF? Ukifuatilia michango yako hapa JF utagundua kuwa unailazimisha roho yako kufanya mambo ambayo ni kinyume na najua inakuuma sana. Unayobwabwaja hapa huwezi kuyasema mbele ya mmeo wala watoto wako unajua itakuwa aibu kubwa. Tume haina laptop. Serikali ya ccm inatapeli hadi fedha za anti virus.
 
hujamsoma vizuri jamaa,Alisema hivi nimesafiri toka Arusha kwenda kupiga kura Ubungo kwa kuwa alijiandikisha akiwa Chuo kikuu cha Dar-es-salaam.Sasa wewe ulitaka apige kura Arusha huku kadi yake ikiwa ya ubungo?

Usibishane naye huyo kwanza siyo raia wa nchi hii, huyo ni mwarabu wa Yemen.
 
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?

Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!

Umetoa Avatar ya Chavez.. Umeweka Avatar ya nazi swastika sasa..! Na hukutosheka ukaweka na quote toka kwa Adolf Hitler..! Sishangai lakini.. Chama utokacho kinafanania hayo..
 
Hata akishindwa kesi uchaguzi urudiwe apambanishwe na Nape pale Ubungo, ndipo watajua waliopiga kura ni mimi na familia yangu na jirani zangu.
 
Nilitoka kanisani nikaenda pale mbezi shule kupigia cdm kura na sikuwahi kupiga kura maishani Mungu atakuwa na wewe Mnyika.
 
hujamsoma vizuri jamaa,Alisema hivi nimesafiri toka Arusha kwenda kupiga kura Ubungo kwa kuwa alijiandikisha akiwa Chuo kikuu cha Dar-es-salaam.Sasa wewe ulitaka apige kura Arusha huku kadi yake ikiwa ya ubungo?
Ikumbukwe wakati ule Vyuo vyote vilifungwa na wanachuo wakawa makwao waliko wazazi/walezi wao. Wakati wa kurekebisha Daftari alikuwa chuoni nakufanya hivyo akiwa na uhakika kuwa wakati wa uchaguzi atakuwa chuoni kwani kulingana na ratiba za vyuo vingi ilitakiwa viwe vimefunguliwa na wanachuo kuwepo huko. Nikumbukavyo mimi kulikuwa na harakati nyingi za kutaka wanavyuo watimize HAKI yao ya KIMSINGI ya kuchagua, Serikali na Tume ya uchaguzi ikagoma kuwatimizia hilo. Vijana hao walijua nini HAKI yao ndiyo maana walifanya hinyo HONGERENI!!! Pia naamini kuwazuia wanavyuo kurejea vyuoni ilikuwa mpango mkakati wa Magamba ili wapunguze nguvu za wapinzani Dar (UDSM Ardhi nk) MZW (SAUT) Idodomia (UDOM) nk nk
 
Mnyika "Mpaka sasa nimeandika
kurasa 21 za mchango wangu
kuhusu majumisho (final
submission) kutoka katika rundo
la rejea za hukumu mbalimbali
zenye misingi muhimu ya kisheria
(fundamental legal principles).
Naendelea na mkesha kama wa
Loyola kupitia kurasa 111 za
mwenendo wa kesi (court
proceedings), Nikimaliza
namwachia wakili wetu aendelee
kwa upande wake, tutakutana
mahakamani kesho tarehe
4 Mei 2012. Nasikia adhana, Hayya
alas-swalaah; Tulitafuta kura
pamoja, tukapiga kura pamoja,
tukazilinda kura pamoja;, kwa
pamoja tutaendelea kushinda.
AMUA: Maslahi ya Umma Kwanza"

Habari za jana usiku...facebook copy-paste.
 
hujamsoma vizuri jamaa,Alisema hivi nimesafiri toka Arusha kwenda kupiga kura Ubungo kwa kuwa alijiandikisha akiwa Chuo kikuu cha Dar-es-salaam.Sasa wewe ulitaka apige kura Arusha huku kadi yake ikiwa ya ubungo?
Ikumbukwe wakati ule Vyuo vyote vilifungwa na wanachuo wakawa makwao waliko wazazi/walezi wao. Wakati wa kurekebisha Daftari alikuwa chuoni nakufanya hivyo akiwa na uhakika kuwa wakati wa uchaguzi atakuwa chuoni kwani kulingana na ratiba za vyuo vingi ilitakiwa viwe vimefunguliwa na wanachuo kuwepo huko. Nikumbukavyo mimi kulikuwa na harakati nyingi za kutaka wanavyuo watimize HAKI yao ya KIMSINGI ya kuchagua, Serikali na Tume ya uchaguzi ikagoma kuwatimizia hilo. Vijana hao walijua nini HAKI yao ndiyo maana walifanya hinyo HONGERENI!!! Pia naamini kuwazuia wanavyuo kurejea vyuoni ilikuwa mpango mkakati wa Magamba ili wapunguze nguvu za wapinzani Dar (UDSM Ardhi nk) MZW (SAUT) Idodomia (UDOM) nk nk
 
Sasa yanatuhusu nini sisi hayo?

Naona mnatafuta sababu ya kusema mmeonewa!

Hivi wewe unafikiria kweli? Mtu hana dola halafu akuzidi kura mara mbili yako kweli still bado unasema ikitokea maamuzi ndivyo sivyo Mnyika atakuwa hajaonewa? Jamani tusiandike humu JF kama WENDAWAZIMU ILIMRADI UMEANDIKA , Hebu kuwa mstaarabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom