Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
Naibu Katibu Mkuu Chadema John Mnyika amezidi kuisambaratisha CCM kwa kuhutubia maelfu ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara unaondelea jioni hii hapa Busega.

Katika ziara hiyo Mnyika amefuatana na Katibu Mkuu BAVICHA Julius Mwita.

Mnyika ameendelea kulaani sera mbovu za CCM zilizosababisha umaskini mkubwa kwa wananchi.

Mnyika alilakiwa kwa kishindo kikubwa alivyoingia Busega kwa watu kadhaa kuchana bendera za CCM na kuzitupa barabarani huku wakiimba nyimbo za kuisifu Chadema na viongozi wake.

Amewataka wananchi kujiandaa kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari la kudumu la mpiga kura BVR zikifika.
Ameionya serikali kutocheza na swala la uchaguzi mkuu
 
Attachments

  • IMG-20150421-WA0178.jpg
    IMG-20150421-WA0178.jpg
    117.5 KB · Views: 3,315
  • IMG-20150421-WA0177.jpg
    IMG-20150421-WA0177.jpg
    114.5 KB · Views: 2,884
  • IMG-20150421-WA0176.jpg
    IMG-20150421-WA0176.jpg
    117.8 KB · Views: 3,081
  • IMG-20150421-WA0174.jpg
    IMG-20150421-WA0174.jpg
    109.4 KB · Views: 2,093
  • IMG-20150421-WA0172.jpg
    IMG-20150421-WA0172.jpg
    89.4 KB · Views: 3,066
Naibu Katibu Mkuu Chadema John Mnyika amezidi kuisambaratisha CCM kwa kuhutubia maelfu ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara unaondelea jioni hii hapa Busega.

Katika ziara hiyo Mnyika amefuatana na Katibu Mkuu BAVICHA Julius Mwita.

Mnyika ameendelea kulaani sera mbovu za CCM zilizosababisha umaskini mkubwa kwa wananchi.

Mnyika alilakiwa kwa kishindo kikubwa alivyoingia Busega kwa watu kadhaa kuchana bendera za CCM na kuzitupa barabarani huku wakiimba nyimbo za kuisifu Chadema na viongozi wake.
 
ETI wangine wanataka kufananisha kifo na usingizi .......ACT na CHADEMA .......wasaliti wanapumulia mashine
 
ccm na vibaraka wao wataisoma number mwaka huu
 
Kazi ya Mungu inaendelea mh myika ni lulu ya Tanzania kweli chadema ni taasisi sio mtu
 
Chadema ni taasisi mzee....Kila mtu anajukumu...kila MTU ana task.....Elimu ya uraia kote tunapiga....Hatuendi kama mbio za mwenge
sisi
 
Tuna imani na CHADEMA; Tuna imani na Mh Mnyika. Endeleeni baba; makamuzi kwa kwenda mbele.

Peopleeeez
 
Chadema ni imara huyo ni Naibu katibu je angekuja Katibu si Nchi ingehamia hapo Busega.
 
Ahsante Mungu, kwa kuwa macho yangu yameuona ukombozi wa Watanzania!. Natamani baba yangu angekuwapo kuyashuhudia haya!.

Watanzania tuilinde hazina ya taifa - CHADEMA.

Ni mtaji wa uhai wa nchi ya Tanzania.

Kwa nia moja, moyo mmoja, nguvu moja, maarifa yetu yote na nguvu zote, tushikamane sasa kutoa support kwa viongozi wetu CHADEMA. Lengo moja ni kuinua maisha na thamani ya Mtanzania chini ya uongozi makini wa CHAMA SAFI, CHADEMA!.

Mungu yuko nasi, tutafika salama!.
 
Mwaka huu ni shidaaaaa....huyu ni mnyika bado hujagusa makamanda wakuuu wa anga a.k.a freeman mbowe, doctor slaaa, lisu, n.k
 
Back
Top Bottom