Quinine!John Mnyika amekaimu kiti cha Naibu Katibu Mkuu kwa kipindi kirefu sasa, Je hajakomaa tu? tunasubiri nini, nafikiri huu ni muda mwafaka kwa chama kufanya maamuzi magumu ili apewe kiti kizima.
John Mnyika amekaimu kiti cha Naibu Katibu Mkuu kwa kipindi kirefu sasa, Je hajakomaa tu? tunasubiri nini, nafikiri huu ni muda mwafaka kwa chama kufanya maamuzi magumu ili apewe kiti kizima.