Mnyika aongea na waandishi ngome kuu ya UKAWA, awajibu NEC

Kwani tatizo liko wapi kama wote watashirkiana kulinda si ndo ulizi utakuwa imara.

Maaan kila mara nasikia makamanda wanasema jukumu la ulizi ni let sote.

Sasa watu wameamua kushirikiana kulinda watu waanapiga kelele?

Rai yangu ni kuwa vyama vyote vishirikiane kulinda kura.
 

Tulia wewe gamba..... Punguza povu
 

Hivi ww ndo uwe msimamizi wa kituo cha kupigia kura unaanzajeanzaje kuwatangazia wahuni wa ukawa kwamba mtu wao kashindwa ata kama kihalali? Cha muhimu apa kwa kuwa ukawa wamemwaga ugali then ccm wamwage mboga wawaambie watu wao waende kulinda kura then tuone nini kitatokea.
 
TumainiEl wapi umeguswa? naona umepaniki?/
-->>madiwani,wabunge msilale tarehe 25 kwa USALAMA WA KURA ZENU,NA ZAURAIS KWA UJUMLA!
 
Last edited by a moderator:



Kha ha ha haaaaaaaaaaa!!!!! Nimefurahi sana na post hii Kamanda wangu!!!
 

Linapokuja swala la Kulinda kura jasho linawatoka matundu yote ya mwilini
 

Wewe ni nani unatuksna watu kana kwamba nchi hii ni yako na ccm pekee! Kuna ubaya gani chama kutangazia wanachama wake matokeo yao! Mbona Kenya walikuwa wanatangaza kwenye media online? Mnaogopa nini kuweka mambo wazi tu?
 

Kumbe mnaogopa UKAWA, sasa subirini, kura lazima zilindwe.
 

CCM hawawezi kulinda kura sababu wao ndo wezi. Ni lazima kura ilindwe dhidi ya hawa wadharimu!!
 
inashangaza wapiga kura wanapokuwa hawajali ujanja wa kuibiwa kura, je wao ndio waizi?

inapokuwa watu mmeweka magunia ya mazao sehemu. mnapanga pamoja mbinu ya kuyakuta kesho, mwenzenu mmoja anasema tache tukalale, tusiajiri mlinzi, huyo bado ni mwenzenu??

Hivi nyie mnaohisi kuwa kura haziibiwi, wakati miaka yote zinaibiwa, mna siri gani?
 

Dah, Lubuva una kazi kubwa kwelikweli!!
 

Kila anae ongea sana either ni mnafiki au ni mbea. Pointless.
 
Wakati mbowe na mbatia wanachukua mabunda ya noti kutoka kwa lowassa hotelini,ukawa walikaa mita ngapi?
 

Unatafuta kisukari cha bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…