Kuacha /kukataa uonevu inapendezainapendeza
Kuacha /kukataa uonevu inapendezainapendeza
Nawewe kesho hutoboi unakufa umfuate magu nyambafKenge Jiwe alidhani ni malaika sasa hivi anaozea kuzimi amebaki fuvu tu.
Chadema wanaanza kumlilia Dpp awaone uruma 😁😁😁😃acha Samia amyooshe Mbowe kwanza, mlikuwa mnasema anaupiga mwingi, Matanga na Sukuma gang ndio wanaoteseka 😁😁😄.Kweli mda ni Mwalimu nzuri sana
Kwa watu unaowapenda ni binadamu kwa unaowachukia utawaita jiwe si ndio?Binadamu unamwita kenge, unajua maana ya kufirisika hoja?
Na kweli ngoma ni mbichi maana Kuni zimetotaChadema bhana. Yaani wanajidai kama mbowe kashashinda wakati bado ngoma mbichi kabisa.
Supremacy ya mahakama za mwendazake umekwisha. Subiri mpambano wa wanasheria, Yale mazoea ya bao la mkono ya yule Jaji aliyefurushwa na Kibatala umekwisha.Mnyika asubilie mbowe apigwe mvua za kutosha
USSR
Sema ukweli, mkuu! Jamaa hachekeshi ni kituko tu!Umekuwa kituko Cha jf mtu akitaka kucheka anakuja kusoma uharo wako
Tunasubiri kwa hamu kuona Sirro akikojozwa.
Magaidi wamekuwepo Marekani , nchi za Ulaya na mataifa mengine lakini uchumi wa nchi hizo umeendelea tu vizuri. USA mpaka ina gereza maalum la magaidi huko Guantanamo bay.NI BAHATI MBAYA NA TUNAJIFARIJI KUWA TUKO KATIKA HALI NZURI KIUCHUMI, KI UKWELI TUKO HALI MBAYA MNO NA TUNAZIDI KUJITAFUTIA SHIDA ISIYO YA LAZIMA.
Hapana mkuu, Jiwe alijiita mwenyewe na hakuna mtu yeyote aliyemwita hilo jina kabla ya yeye kujiita hivyo. Kama siko sahihi waweza nirekebisha.Kwa watu unaowapenda ni binadamu kwa unaowachukia utawaita jiwe si ndio?