Mnyika amtaka DPP atoe kauli ya kutotaka kuendelea na kesi ya Mbowe badala ya kuendelea kumtesa bila sababu!

Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amemtaka DPP atoe kauli ya kutotaka kuendelea na kesi ya Mbowe badala ya kuendelea kumtesa bila sababu za msingi.

Mnyika ametoa kilio chake kupitia ukurasa wake wa twitter!

Mungu ni mwema wakati wote!
Ushangiliaji wenu mnasahau kwamba unachangia kuwaumiza waTanzania?

Naona wewe mara chache chache dhamira inakusuta hata kama hufunguki zaidi kuhusu uonevu mkubwa wanaofanyiwa watu wasiokuwa na hatia yoyote.
Wala sio hata siasa hizi; huu ni uonevu tu unaofanyika kukomoa watu wasiokubaliana na mnayoyataka nyinyi.
 
Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amemtaka DPP atoe kauli ya kutotaka kuendelea na kesi ya Mbowe badala ya kuendelea kumtesa bila sababu za msingi.

Mnyika ametoa kilio chake kupitia ukurasa wake wa twitter!

Mungu ni mwema wakati wote!
Wananchi hatutakubali gaidi aachwe bila kufungwa jela. Kila aliyetenda kosa apate stahiki yake.
 
Wananchi hatutakubali gaidi aachwe bila kufungwa jela. Kila aliyestenda kosa apate stahiki yake.
KOSA MOJA TUNALOLIFANYA KUWA TUNATANGAZIA ULIMWENGU KUWA NCHI YETU SI SALAMA TENA MAANA KUNA MAGAIDI.
HII INAZOOFISHA BIASHARA ZA KIMATAIFA , NA HATA WATALII HAWATAPENDA KUJA SABABU TUMESHAWAELEZA KUWA KUNA MAGAID.

NINGETAMANI TUKAJISAHIHISHA NA KUTAFUTA JINA LINGINE MBADALA. NJE YA HAPO TUANUA UCHUMI WETU KWA MIKONO YETU WENYEWE.
 
Hakuna jina mubadala kwa magaidi. Muhimu tuunge mkono serikali itokomeze aina zote za ugaidi.
Uzuri watalii na wawekezaji wanaendelea kumiminika nchini kwa sababu wanajua magaidi wanatoka kundi gani.
Nasikia chama hicho kinachowafadhili magaidi sasa hivi wazungu wanakiogopa kama ukoma.
 
NI BAHATI MBAYA NA TUNAJIFARIJI KUWA TUKO KATIKA HALI NZURI KIUCHUMI, KI UKWELI TUKO HALI MBAYA MNO NA TUNAZIDI KUJITAFUTIA SHIDA ISIYO YA LAZIMA.
 
Toka afiwe na marehemu wake chato na rafiki yake sabaya kufungwa amekua kama mwehu
Bashite akili zake hazina akili. Anatafuta nitoke vipi..
Na toka akalilishwe kuwa teuzi zinatokana na kumtukana Mheshimiwa Mbowe. Anapuyanga ile mbaya kama kuku aliekatwa kichwa.
 
Back
Top Bottom