Mnyika amtaka DPP atoe kauli ya kutotaka kuendelea na kesi ya Mbowe badala ya kuendelea kumtesa bila sababu!

Chadema wanaanza kumlilia Dpp awaone uruma 😁😁😁😃acha Samia amyooshe Mbowe kwanza, mlikuwa mnasema anaupiga mwingi, Matanga na Sukuma gang ndio wanaoteseka 😁😁😄.Kweli mda ni Mwalimu nzuri sana

Uruma?!
Matanga?!
Mda?!

Amyooshe - benefit of doubt kwamba ni typo. Lakini haya mengine jombi zaidi sana yanaakisi tu u mtu namna gani.

Hiiiiii bagosha!
 
Mnyika asubilie mbowe apigwe mvua za kutosha

USSR
Supremacy ya mahakama za mwendazake umekwisha. Subiri mpambano wa wanasheria, Yale mazoea ya bao la mkono ya yule Jaji aliyefurushwa na Kibatala umekwisha.
 
Tunasubiri kwa hamu kuona Sirro akikojozwa.
emoji276.png

NI BAHATI MBAYA NA TUNAJIFARIJI KUWA TUKO KATIKA HALI NZURI KIUCHUMI, KI UKWELI TUKO HALI MBAYA MNO NA TUNAZIDI KUJITAFUTIA SHIDA ISIYO YA LAZIMA.
Magaidi wamekuwepo Marekani , nchi za Ulaya na mataifa mengine lakini uchumi wa nchi hizo umeendelea tu vizuri. USA mpaka ina gereza maalum la magaidi huko Guantanamo bay.

Muhimu ni kuwasaka magaidi wote kama serikali inavyofanya sasa hivi na wahukumiwe miaka mingi jela.
Tuwafichue wote wenye mienendo ya kigaidi bila kuangalia vyama vyao. Tumeanza vyema na hao walioko mahakamani. Serikali ikomoe nao hadi kieleweke
 
Kwa watu unaowapenda ni binadamu kwa unaowachukia utawaita jiwe si ndio?
Hapana mkuu, Jiwe alijiita mwenyewe na hakuna mtu yeyote aliyemwita hilo jina kabla ya yeye kujiita hivyo. Kama siko sahihi waweza nirekebisha.
 
Mi nashauri ili kulinda heshima ya polisi DPP aseme tu kuwa Jamhuri Haina interest na hiyo kesi bas wanafuta shauri mahakamani.maana mashahidi wanakuja pale kizmbani sijajua Kama watatoka salama.
 
Back
Top Bottom