Mnyika amkaba koo Mwakamele Ufisadi TANESCO

Hongera yenu watu wa Ubungo kwa kupata M bunge makini ,siyo sisi Mtwara Mjini mmmmm Murji .
 
Mnyika anatakiwa aje JF kuokoa chama au amtume Tumaini Makene. Hawezi kukimbilia ya Tanesco wakati chama anachokieneza kinazama kwa kashfa nzito nzito
 
Unataka Hasiongelee ya tanesco.ili rushwa,wizi viendelee.unamsaidia shetani aendelee kutawala tanesco.Ila kumbuka MUNGU alishamkataa shetani na uovu wake wote.
 
Ni dua yangu kuwa Mnyika aimarike na siku moja ashike madaraka makubwa ya kiutendaji hapa Tanzania.

Maana Mungu huwainua wanyenyekevu na kuwashusha wajikwezao...
 
Pamoja mkuu sio km hawa masalia wapenda madaraka wanataka kuua hadi panya
 
Unataka Hasiongelee ya tanesco.ili rushwa,wizi viendelee.unamsaidia shetani aendelee kutawala tanesco.Ila kumbuka MUNGU alishamkataa shetani na uovu wake wote.

Mkuu ni ngumu sana kumfukuza sheani kwa jirani yako wakati wewe unaishi na misukule nyumbani kwako.
asikiaye na afahamu
 
Back
Top Bottom