Chebacheba
Senior Member
- Dec 15, 2011
- 116
- 11
ccm walio wengi wanastres za kukosa vit 2015 (kijana anashabikia ccm akizeeka atakuwa mchawi by jembe benedict)
Mzimu wa JK umeanza kumwandama
Mkuu kama una ushahidi hapa JF msaidie kijana asije atdhirika bure kwa ku-copy na kupaste mada za JF za uongo.kaingia kwenye chupa siyo? haijatulia kabisa mwana
Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho.
Hivi aliyesema CHADEMA wanahusika na kumteka Dr. Ulimboka waliombwa ushahidi? Au ushahidi unaombwa kutoka kwa Wabunge wa Upinzani tu?
jipe moyo.....Nothng serious w'll happen against comrade mnyika,
Ujumbe umeupata na umeelewa hayo mengine madoido tu[/QUOTE
Namna mojawapo ya kupima uwezo wa mtu kuchambua mambo na hata intelligency ni namna anavyoandika, you cannot construct a sentence correctly and you want us to take you seriously?
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Dah Mnyika alionywa hakusikia, kaingia kwenye chupa.
Wale walio Bungeni kama Mnyika achaneni na porojo za JF.
Hata kama wizi ulitokea zamani,lakini myu kwa madaraka yake aliyonayo akasaidia kuzuia uchunguzi au kushiriki kuficha ushahidi wa wizi huo huyo naye ni mshirika kwa kula njama za kuficha ukweli wa wizi(ufisadi)huo.Mnyika nilikushauri tulizana usipende kuropoka hovyo angalia sasa umeingia kichwa kichwa kwenye anga za Mwigulu Nchemba.
Umemtaja kuwa ni mmoja wa watuhumiwa wa EPA, wakati wizi huo umetokea mwaka 2005, wakati Nchemba ameingia BOT mwaka 2006 wakati wizi huo ukitokea alikuwa chuoni.
Haya lete huo uthibitisho wa madai yako.
Usiwe kilaza siyo wote walioiba walikuwa wafanyakazi wa BOT, anaweza Kuiba hata wakati akiwa chuo.