Mnyika Akalia Kuti Kavu

Na kweli maana hata huyu tulie nae tuliambiwa ni kijan mwenzetu...matokeo yake imekuwa kila kukicha ni kwenda kutafuta mademu nje ya nchi na kupiga picha na kina 50 Cent........hovyokabisa kiwte
 
Mzimu wa JK umeanza kumwandama

Jk hana mzimu wenye haki ya kumgusa Mnyika, Msiwe na mchecheto Mnyika ni kichwa hawezi kukurupuka,subirini siku saba zipite afu mje hapa. Mnyika sio kama JK anayesema nina majina ya wauza unga afu kimya!
 
Wamezoea kuwazodoa ccm bungen wanakuwa kimya kama watoto, ss wanaumbuliwa wanaanza kuropoka..
Wanaoumbuka ni CCM wanajadili hoja za chadema badala ya serikali yao wamedhihirisha wanavyowagwaya chadema chadema imegeuka ni waongoza na CCM wanajilinda
 
1. Mnyika alitumia maneno yake vizuri. Kusema/kudai Nchemba ni mmoja wa watuhumiwa ina maana ni mmoja wa watu wanaohisiwa/shukiwa kuvuta au kushiriki kuvuta fedha za EPA hata kama alikuwa UDSM 2006. Maana si watuhumiwa wote wa EPA walikuwa BoT 2006 au kabla yake.2. Anaweza akawa amehusika katika kujerejesha au kusaidia watuhumiwa kurejesha kisirisiri, kuficha au kuharibu baadhi ya docs nyeti wakati yuko BoT. 4. Anaweza akawa amelamba baadhi ya mihela wakati wa kuzirejesha.5.Mnyika anaweza asiweze kuthibitisha (ingawa it's unlikely kuwa atashindwa) lakini kwa vile hakuwa ameombwa afute kauli yake anaweza akaamua kuifuta lakini 'message sent'.6. By the way, kuna mbunge wa Chadema alisema PM kalidanganya bunge na kaumbiwa alete ushahidi kimaandishi na ukaletwa. Je, ulishasomwa bungeni? Sasa kwa hili la Mnyika, wataanza kusoma ushahidi wake au ule ulioletwa siku za nyuma?
 
usije ukawa wewe na ccm yako ndiyo mnakurupuka???tukiwaletea ushahid mtakuwa tayari kuusoma bungeni???maana ushahidi wa lema dhidi ya pinda mpaka kesho amjauweka bayana na tulishawapa kimaandishi yani hard copy n soft copy
 
Jee, niwache kutoa ushauri kwa Mnyika kwa sababu tu yeye na mimi kisiasa itikadi zetu tofauti? nikifanya hivyo ntakuwa simtendei haki Mnyika wala sijitendei haki mimi binafsi.

Kama ndiyo hivyo, Mnyika hatakusikiliza kwa sababu ya tofauti za anachokitetea na unachojaribu kukatisha tamaa. Mimi sikukatazi kupandisha mlimani maji yaliyoko kwenye gunia. Ndicho kilicho wazi machoni mwangu.
 

Mnyika shemejio nn maana naona povu la ajabu
 
Mwakalinga .Y,
Naona na wewe unajichanganya kuweka hiyo miaka, alichosema Mnyika wakati wizi wa EPA unatokea Nchemba alikuwa mtumishi wa BoT na kusisitiza ni mtuhuimiwa sio kwamba alikuta wizi wa EPA umefanyika.
Acha ungo..hapo kwenye red umedanganya. Hatamka hayo maneno.
 
Dah Mnyika alionywa hakusikia, kaingia kwenye chupa.

Wale walio Bungeni kama Mnyika achaneni na porojo za JF.
 
ohooooo!! huyu Mnyika mbona hivi tena? anakurupuka bila data! Hivi adhabu ya mbunge anayeshindwa kuthibisha huwa ni ipi? maana ni dhahiri shairi kwamba hapa Mnyika atashindwa kuthibitisha.

Nashauri Mods waweke udhibiti mzuri wa usajiri wa members hapa JF. Nionavyo mimi, aliyeanzisha thread hii na wale waliotoa comments za mwanzo ni aidha mtu yuleyule, au kikundi cha watu wanaofahamiana. Hii inaweza kuleta distortion ya hoja humu JF na kupoteza maana yake kabisa.
 

athibitishe nini wakati kanuni ya kumtaka afanye hivyo nayo ilitolewa kimakosa; Ushaidi hupo ila auwezi kutolewa mpaka Jenesta Mhagama aeleze Watanzania kwanini aliamua kukiuka kanuni za Bunge na kuliendesha Bunge kadri anavyotaka yeye.
 
Acha kulia lia wewe, toa hoja zako humu.
 
hivi tunadadili kwa mfano...mbona watu mwataka kumalizana kwa maneno.
 
Saizi Myinka kila akiunganisha ushahidi wake wa kuupeleke bungeni kama uthibitisho unakataa kichwa kinauma...
Mlisema hivi hivi siku Lema alipoambiwa alete ushahidi kuwa Mizengwe kalidanganya bunge.
Naye si alipewa siku 7 au miaka 2..manake mpaka leo sijasikia ushahidi wake ukisomwa bungeni.
Magamba very pathetic
 
subiri ashindwe ndio uongee ndugu usiwe kama hujasoma ndugu unatoa maamuzi kabla ujasikia are u great thinker or slow learner?
 

Kwani ROST TAM alianza uwekahazina wa sisiem lini na mipango ya kuchota hela za EPA ilianza lini,kwa malengo gani....Kuanza kazi BOT 2006 si sababu tosha ya kutokuhusika kwake..think biG!
 
Kwani ROST TAM alianza uwekahazina wa sisiem lini na mipango ya kuchota hela za EPA ilianza lini,kwa malengo gani....Kuanza kazi BOT 2006 si sababu tosha ya kutokuhusika kwake..think biG!
husomeki'''''
 
ccm walio wengi wanastres za kukosa vit 2015 (kijana anashabikia ccm akizeeka atakuwa mchawi by jembe benedict)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…