Mnyika Akalia Kuti Kavu

 
Naona wengi mmechanganyikiwa na hamjui mnaloongelea... tafakarini kwa makini huu mtiririko;
Kwa hakika aliyekalia kuti kavu ni Mwigulu Nchemba! Wizi BOT ni kama mtego wa panya, utanasa waliomo na wasiokuwemo...kuna data kibao na laiti Mwenyekiti Jenister Mhagama angejua pandora box anayotaka kuifunua imefunika kitu gani, angefikiria mara mbili kabla ya kumtaka Mh. Mnyika atoe ushahidi. Mnalotakiwa mjiulize mnaowatetea mafisadi ni hili, je asilimia kubwa ya pesa zinazoibwa BOT zinamnufaisha nani au nini na hapa ndio wengi wananasika. EPA ni wingu zito machoni mwa magamba...kila wakikodoa macho, ni EPA tuuu!
 
sitaki kuamini kua hapa ndo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia......wakati wa kesi yake ya uchaguzi aliyoshinda ushahidi alitolea humu jamvini au ww ndo ulimpatia ushahidi? Shame on u!!!

Mahakamani msemaji mkuu wake alikuwa wakili lakini bungeni hakuna wa kumsemea lazima ajipinde mwenyewe sijui atafanyaje mwaka 2006 uwe 2005 kazi ipo hapo. Hivi dogo hujui ukiwa na wakili mzuri unashinda kesi hata kama kosa umetenda?

Usiwe mbayuwayu wa CDM shauri yako!
 

Mr kukurupuka kakuolee nn? Maana
Povu jingi la nn lote hilo
 

Hahaha Nchemba kawatekenya naona sasa mnacheka cheka ovyo tu chezea Mwigulu nyie
 
Tusubiri tuone,Mwigulu kashajitetea kabla hata hajaulizwa ulakini hapo.tusubiri tuone
 
Cdm ilithibitisha kuwa Waziri mkuu ni muongo na God bless Lema Akathibitisha jiulize yaliishia wapi!.So hata Mnyika akithibitisha hakuna kitu chochote kile!
 

Nimeipenda hii mkuu "system at work"
 
Siku zingine anatimiwa ile kitu fresh kutoka Arusha.nadhani siku hiyo alikuwa ameripuka
 
JOHN MNYIKA, you are good young Politician, kasoro yako moja kubwa ni kwamba unapochangia hoja ONDOA MAWAZO KICHWANI KUWA KUNA CAMERA ZINAKUCHUKUA NA WANANCHI WANAKUTAZAMA LIVE! mbaya ni kwamba hakuna ku-edit picha ikichukuliwa maana iko hewani in advance. I was like that before wakati wangu, nilibadilika baada ya kukubali macho ya watu, kwa hilo la NCHEMBA insnt a big deal, lakini ukiendelea hivyo bila kukubali kukosolewa yatakukuta. Nakumbuka Rev. Mtikila alikosa ushahidi mahakamani wa maneno yake kuwa Baba wa Taifa hakuwa Raia, aiseee alipoambiwa utakwenda Jela Mwaka mmoja, Nilimwona mzee wa watu alianza kuvuja jasho na aliomba maji ya kunywa, baada ya kumpatia maji aliomba kwenda haja kubwa, alichombiwa ni kwamba huruhusiwi tena kujisaidia katika choo cha kawaida na badala yake ibane haja yako kwa ajili ya kwenda kujisitiri kwenye ndoo ukonga, maana hii ndo utaratibu wa mfungwa. Watch your tongue dear MP
 
Afungiwe kwa lipi, akikosolewa yeye Mods amfungie lakini yeye akimtukana Rais kuwa ni Dhaifu asifungiwe, unadhani akifungiwa Jamiiforums ndo social forum pekee nchini, mawazo yako ni kama kuku shoga? Ulishawahi kubahatika kumla? Ukimla makalio yanaanza kuwasha sijui nani wa kukuhudumia, na utamla one day Thank God uwe mbali na wafuasi
 
Maskini Nchemba! Nilikuwa nawaza sana kwanini huyu jamaa anaachwa wakati alishaandikwa kwenye MWANAHALISI jinsi alivyotumiwa na wakubwa ktk ufisadi ule!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…