Hivi Mnyika unamjua au unamsikia? Lile ni jembe la kweli huwa anaongea na kusema kwa kufikiri na kila neno analolitoa huwa lina ukamilifu kwa kufanyia nukuu kitaaluma! Alichokitamka ni sahihi na ni ukweli! Kiti kitatumia ubabe lakini ukweli utabakia pale pale! Mch Mtikila alishatamka kuwa mwili wa Baba wa Taifa Mzoga na kuwa serikali imetumia mamilioni ya wavujajasho kuuzika, je alikalia kuti kavu?, Mrema alishasema hadharani kuwa Mkapa ni mwizi na fisadi kwa kushiriki ufisadi wa Bilioni mia tisa je alikalia kuti kavu,
Ma Psychic ni wehu tu Mkuu. Mimi siwaamini 100%. Wakati mwingine hawatofautiani na wapiga ramli! And they can make terrible mistakes!Kama unaijuwa shule ya ma Psychic duniani basi ndio hiyo niliyosoma mimi.
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Hujasema chochote hapa Mkuu. Utakula tapishi usipoangalia.bwahahaaaaaaa,, mpashe mluga luga huyo
Nyie chadema ndiyo tabia yenu kutete upuuzi,ata madaktari mnawatetea bila kujali afya za watanzania wengi kwa hiyo siwashangahi kumtetea Mnyika wakati mkijua amekosa hiyo ndiyo tabia yenu chadema kumtetea mtu na wakati mkijua amekosa ili kuichafua serikali!
Katika hali ya kuchanganyikiwa na sek seke za Nchemba, Mh. Mnyika alijikuta akijiingiza matatani bure kwa kudai kwamba Nchemba naye ni mhusika wa wizi wa EPA pale BOT. Sasa Nchemba laiingia BOT 2006 na tayari wizi ulikwishatokea, na Mnyika amepewa siku 7 kutoa uthibitisho. Atafanya nini masikini kijana huyu ambaye ni kama kachanganyikiwa kabisa sasa.
Nawashauri wabunge wa CDM kuepuka kushindana na Nchemba, watajikuta pabaya sana. Huyu jamaa ni bingwa wa ku provoke watu. .Achaneni naye, mtaumia
Source: Mnyika amhusisha Nchemba na EPA
Akishindwa kuthibitisha Siku 90 anazuiwa kuhudhuria vikao vya bungeohooooo!! huyu Mnyika mbona hivi tena? anakurupuka bila data! Hivi adhabu ya mbunge anayeshindwa kuthibisha huwa ni ipi? maana ni dhahiri shairi kwamba hapa Mnyika atashindwa kuthibitisha.
Ma Psychic ni wehu tu Mkuu. Mimi siwaamini 100%. Wakati mwingine hawatofautiani na wapiga ramli! And they can make terrible mistakes!
Off-course! yule kamanda sasa hivi akienda hospitali kwa swala lolote dogo tu itabidi ag'olewe jino kwa koleo na bila ganzi! That is obvious!Kama vile hujui kuwa madaktari wanakata kichwa badala mguu na wanakata mguu badaala ya kichwa! kwi kwi kwi teh teh teh!
Ila wewe unayetetea serikali na mafisadi wanaoiba pesa za walalahoi na kuzileta
huku Ulaya unajiona uko sawa? Ama kweli ni bora unyimwe mali lakini upewe akili.
"HUKU ULAYA" ulitaka tujue upo ulaya?