Babu Ubwete
Senior Member
- Jan 26, 2008
- 169
- 29
Namkumbuka huyu miss aliwahi kuwa pale IFM alikuwa benett na jamaa mmoja pale IFM aliyekuwa akionekana dhahiri kwamba ni shoga....ingawa kijana yule kwa taarifa nilizonazo ni kwamba alishatangulia mbele za haki...
Mungu amrehemu hayati Mack dm mzee wa Akiba commercial.