Mnyambulisho wa K' Matata

Mnyambulisho wa K' Matata

Hahahaha

Mimi mziki kucheza siwezi, napenda kuona watu wakicheza

K' Matata wataka kunifundisha kucheza au kunionesha unavyocheza?

K' Matata una Matata weye

Anza mazoezi mdogo mdogo kuchezesha miguu mabega na kichwa. Nikija utajua tuu kucheza kuanzia ndombolo hadi reggae muffin.
 
Siku nyingine andika hata , vitunguu mijusi,sio kila siku topic ni Kasinde, soo boring Kenge we!

Heheheheeeeeeey

Inapenyaaa eeeehhh......

Kaasiiindeeeyy na Daadiiiii wa kudamshii always....

Wapi kiti motoo Wuuhuuuuuu.
 
Back
Top Bottom