CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Umefeli katu haach mtu. Sisi sio wa dini ileView attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .
Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe
Namshukuru Mungu kwa kuumba mnyama mwenye ladha maridhawa kama nguruwe. Mungu ashukuriwe kwa zawadi hii mwanana ya kitimoto
Mie hata wakisema anaambukiza ugojwa wa zika bora bichwa langu liwe kama nyumba lkn siachi ng'oo
Wewe kijana utakua ni mwanaume wa Dar tu. Yani unaanzaje kumla shetani!?Pole sana mkuu ila hakuna namna... mdudu ataendelea kutafunwa kama kawaida nnakushauri fanya uonje walau finyango moja tu mmmmh tamu hiyooo!!!
Wanyama wote wasipoandaliwa vizuri wana madhara... BTW gauti na tauni havisababishwi na nguruweView attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .
Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe
Wewe kijana utakua ni mwanaume wa Dar tu. Yani unaanzaje kumla shetani!?
Pole sana mkuu.Wewe kijana utakua ni mwanaume wa Dar tu. Yani unaanzaje kumla shetani!?
View attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .
Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe
Ukiachia maandiko ya Bibilia na Qur'an kukataza kumla huyu mnyama pia zipo sababu za kiafya nyingi sana ambazo hutakiwi kumla huyu mnyama.
Halafu mnyama huyu ndo mnyama mbaya kuliko wanyama wote duniani kuanzia sura,maumbile hadi jina,eti anaitwa "NGURUWE"
Kwanza sijaona nyama yenye thamani kubwa au inayouzwa bei ghali zaidi ya kitimoto. Waswahili Wanasema sura sio roho. Ni kweli kitimoto ana sura mbaya ila ladha yake ni njema na yenye kutukuka sana. Ndio maana hata wale ambao wanakatazwa kwenye nyumba zao za ibada huwa tutakutana kwenye maeneo matukufu ya kula hiyo kitu. Na kwa ubora wa kipekee huwa wanatengewa eneo maalumu ili wasionekane na wanoko.
mimi ni binadamu ninakula kila kitu mpaka huyo nguruwe mwenyewe ninamlaView attachment 344251 View attachment 344252 View attachment 344253 View attachment 344254
PIG NOSE IS DANGEROUS .
Nguruwe ni myama pekee anae kula kila kitu mpaka nyoka anakula na hadhuriki Nguruwe ana Bakteria kali sana anapo kua amekufa
Kama ulikua ujui basi ndio hivyo
Acha kula Nguruwe
teh teh tehMTI wenye matunda ndo HUPIGWA MAWE
Kweli kufa kufaana teh teh tehNa Mimi ninafurahi Watu wengi wakila huyo Mnyama nipate kuwatibia Maradhi yanayotokana na huyu Mnyama waTaifa Aka Kitomoto Aka Mbuzi wa Kikatoliki.