Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Mchezaji wa kimataifa wa simba fc na Uganda ametemwa kushiriki kambi ya mazoezi ya simba fc iliyoko huko umangani Oman.
Okwi hajaripoti dar mpaka leo hii na toka alipo-sign mkataba wa miaka miwili na simba fc amekuwa hapokei simu za viongozi wa simba."Hatuwezi kumbembeleza mchezaji kiasi hiki,okwi hayupo katika programu yetu tena"alisema Geoffrey Nyange-Kaburu.
SOURCE:HABARI LEO newspaper.