Ahsante sana Wana Gunners wote tunakukaribisha sana katika chama letu ila kumbuka asiyekubali kushindwa si mshindani. Karibu sana Gunners, kuna goli nyingine mbili kabla ya half time.
Kumbe ukifungwa unakasirika ivi?? Kwanini unachagua timu mbovu? Kama hupendi kufungwa penda timu zinazojua sio yanga!!!!