Mnyama gani huyu?

Unajua hapa kuna mto sasa huwa siwaoni boko wakitoka nje ya maji, zaid wanaibuka na kupiga mswaki then wanarudi ndani.
Sijawahi waona wakila.
Huwa wanatoka kula usiku kukiwa kumepoa, mchana wanashinda kwenye maji jua linawazingua kutokana na kuwa na mafuta mengi kutokana na unene walionao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…