Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
Unacheza na watu wa Dar wewe...Hawana urafiki hao!
Watakuambia wewe ni mtu wa UWT fasta!
Kama vp ishu hiyo iuze huku A-Town!...ina soko huku!!
Wasiwasi wangu ni hiyo raundi 1 yako uliyotangaza!
Kwa mahesabu yako unadhani inaweza sababisha mtu akakwambia ID yake?...sidhani bana, haitoshi!

Sioni sababu ya watu kuwa waoga kukutana.
Niogope nini? As long as mimi sio mhalifu,mimi sio fisadi, mimi sio haramia, mimi ni raia halali na mtumishi wa umma wa watanzania.
Na hatuwezi kuonana bila kujuana kwa Id mana hakutakuwa na mvuto.
Imagine furaha mtu utakayo pata unabadilishana mawazo na mtu huku anajimbulisha kwamba yeye ndio Bujibuji, Kongosho, Lizzy, Asha Dii, Maria roza, R. Roulete, Fe lady, Sweet ladyg, Preta, Jestina,Nyamayao,Nyumba kubwa, Kloro, The boss, finest, St ivuga, Masanilo, Vivian,figaniga, N. Ngabu, Asprin, Paka Jimmy, mr Rocky na wengineo weengi, tukijuana kwa id zetu hapo ndio patakua na mvuto wa aina yake mana kila mtu atafurahi kumjua mwenzake.
Kichekesho ni kwamba yule uliyemdhania ni mdada mrembo utakuta na kibii kizee, au kidume, kibabu n.k dah itabidi kuwepo na raundi ya chimpumu kwa kuwaenzi wazee wetu watakaokuwa hawatumii byuariz
Nawasilisha
Unacheza na watu wa Dar wewe...Hawana urafiki hao!
Watakuambia wewe ni mtu wa UWT fasta!
Kama vp ishu hiyo iuze huku A-Town!...ina soko huku!!
Wasiwasi wangu ni hiyo raundi 1 yako uliyotangaza!
Kwa mahesabu yako unadhani inaweza sababisha mtu akakwambia ID yake?...sidhani bana, haitoshi!
Nyie watu wawili this tym...yaani this tym.....yaani...mimi nawaambia kabisa yaani...hivi amesema tuchague sehemu za Dar?....halafu hii ID aliyotumia ni mpya sana bana....angetumia ile ingine...
Hahahaha. . .
Mpatanishi umenifurahisha. Itabidi watu wajiandae kuwa sapraizid kwakweli.
Wala sio uongo. .kweli Lizy mana naweza kudhani ww ni mdada mrembo nikakuta kumbe ww ni kibibi teh teh teh
hahahahaha,umenichekesha aisee.Watu wengine waoga kukutana utadhani wana uraia wa somalia!