Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
tangazo lako haina ubora vipi kwenye huduma utaweza ?Mnunnulie mpenzi wako zawadi adimu sio pesa ukimpa pesa kesho mwingine akimpa itakua part 2 movie la kichina.
Agiza zawadi na vitu kutoka nje kupitia
Triple m importer via facebook au call namba zao kupitia ukurasa wao, pia instagram wapo
Mnunnulie mpenzi wako zawadi adimu sio pesa ukimpa pesa kesho mwingine akimpa itakua part 2 movie la kichina.
Agiza zawadi na vitu kutoka nje kupitia
Triple m importer via facebook au call namba zao kupitia ukurasa wao, pia instagram wapo
zawadi ni kitu chochote hata gari, unawezakuta kuna zawadi unataka kumpa mpenzi wako halafu haipo bongo kwahiyo unaweja kuwacheck jamaaUngeweka baadhi ya hizo zawadi ni kama zipi ili kuvutia watu kwenda huko insta na facebook
tangazo likieleweka inatosha mambo ya huduma nitofauti, tangazo likifikisha ujumbe inatosha. Ila nikitu kizuri ili kujijenga zaidi, asante mkuu