mnisamehe, mnielewe

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
jaman wapendwa wangu hivi juzi juzi email account yangu ilikua na tatizo basi nkajitahd nikafix tatizo nilivoingia mepata notifications nying zikiwemo za jf kwa harakaharaka ,acho yangu yakapita nikakutana na na zinanitaarifu kuwa mtu flan amerequest friendship na wewe yan mim .tatizo linakuja ni kwamba mtadhan labda meleta poz kuwakubalia laahasha mimi huwa natumi jf mobile so mambo meng siwezi fanya ila nawapenden wote tena nilikuona excellent request yako na wengineo ila ndugu zangun nivumilien mwenzenu dadavuzi mpakato iliharibika na bado sijaokota pochi la mzungu,.




Beibe Nasty,
Judgement
 
umesamehewa shost! hata mie naface tatizo kama lako. naomba nami mniwie radhi km shost alivofafanua!
 
Aisey!
Pole .
Niko nayaZoom maproblem zako my wife, soon yatakua narrate!
 
Namimi unisamehe swii...wamekata..niliweka ...wakakata..sa mi ningefanyaje. Ngoja nikanywe mbege kwanza ndo nitulie.
 
Back
Top Bottom