Mnipe msaada wa Mawazo/Mtaji/Kazi/Connection chini pagumu aisee.

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
Wakuu October man naandika kitu.

Leo nimekaa kuFigureout Hustle nilizopitia nimepita kwingi KFC, PizzaHut, Subway, viwandani, Supermarket, mashuleni, Carwash kadhaa nk kote nimegota neno moja tu tena unajibiwa bila anayekujibu kutafakari kama kaliandaa “Tumejaa/hakuna kazi” ila ishu kubwa niliyoiamini ya kujiajiri wazo la kuosha magari nilivyo Iplan na imekwama, ishu hii pesa yake inaonekana na nyingi atleast ila kupata nafasi ya kufanya kazi imekuwa ngumu sana, nimeFight kupata sehemu kama tatu(3) ila zote nimekosa

1)Posta, hapa ni majaa tu wanaosha vikundi kujiunga wanataka pesa ila kwakifupi wanakukata tu mtu mpywa ila hii sehemu sikuichukulia serious sana hata mazingira ya kazi inahitaji moyo kufanya.

2)TanHouse, hapa ni sehemu nilikuwa very serious kufanya kazi inabidi uombe uongozi wa Jengo maana magari yanapaki sehemu iliyotengwa na ofisi wamenizungusha sana na mwisho wamekataa kulikuwamoja waoshaji wawili magari kibao jamaa alinambia wanaosha gari 3000/= kwasiku anaosha gari 15 So kupata 40,000/= kawaida nimefatilia wamenitema uongozi.

3)NMB (Upanga), hapa ndipo daa wana packing ina gari nyingi sana 100+ sijaona packing kama ile gari zao wanapaki kwenye sehemu ya pembeni na hakuna anayeosha nikaona hii jackpot, nimeongea na wanaohusika jamaa kakubali nimeanza kazi nimepiga 39,000/= siku ya kwanza sikuamini nikaanza kupiga hesabu za kusave million 10 mpaka mwaka unaisha maana saving kidogo naiweza haa sindo keshoyake naenda naambiwa uongozi umekataa Kuosha magari ndani duu.

Mpaka sasa akiri imeStack hata sijui ishu gani nyingine nifanye itaweza nitengenezea pesa ya kama ile 40K kwasiku bila ajira bila Mtaji....kichwa kimestack kabisa nikiwaza kila mishe inahitaji mtaji na mimi nililijua hilo ndio maana nikaplan mishe ile sasa nigeukie kipi ??

Ishu gani nyingine ambayo inaweza nipa 20,000+ kwasiku isiyohitaji mtaji hata 10,000/= nafikili kuuza mishikaki ila nikiona wanavyofanya wanaouza mishakaki kokoteni, jiko, na setup mzima haipungui 500,000/= ukiigeukia ajira nayo process nzito sikitoto.

Ninaombi moja
_Mwenye uwezo aniinue/anisapoti kwa njia yoyote ile nidhamini Funding/Capital ya biashara niinuke chini pagumu nitajifunza biashara week nzima kwa anayefanya kwa viyendo ili niilewe
_Au hata Connection ya kazi aniunganishe professional Teacher ila kazi yoyote napiga.

Ground ngumu aisee tuinuane wanJF.

Portfolio | 2020
 
Watu wanawaza corona virus, wewe unawaza ishu ya kufanya ili upate pesa, are u serious?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliandika uzi wangu juzi ulikuja kucoment kwa kukandia haswaa
Ulionyesha umahiri mno wa kuukandia
Ila sikujali wala kuumia kwa kuwa mpaka mtu anandika uzi ujue amewaza vingi
Amepitia vingi mno
Amehangaika sana kwa mengi
Amekwama kwa vingi
Ameshafanya kila jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wake kafail
Amekata tamaa kabisa ila majibu sasa ya wanaJf ndio yanapokuja kuvunja mioyo na kujiona mtu huna thamani kabisa wala huhitajiki popote pale ni kama tu kikaragosi
Tizama sasa umeandika yale yale tu
Sitaicopy na kuipaste hapa ile comment yako but najua unaikumbuka vyema haswa

Maswali ya karaha ,
Haya hela ya bando unatoa wapi?
Uza hyo smartphone uanzie mtaji!
Na maswali mengine yanayofanania yasiyo na msaada kwa wakati unapokuwa umekwama

Nikutakie kila la kheri naamini utapata wa kukusongesha kwenye hatua moja mbele
Na pia kuna ishu nafatilia ikiwa sawa nitakushirikisha tuifanye pamoja mana naona unajituma haswa hivyo malengo yatatimia haraka!

Penda kuwa positive kwenye ulimwengu mgumu huu.

Wapi niliku-Attack, uzi wako umeshangaa kwanini Mbowe anachangiwa hali ya wewe unashida...nimekupa theory kwanini anachangiwa na wewe ujachangiwa (Value).

Unaandika sijui simu umepata wapi hapa kaandika nani hayo.

Uzi wangu mbona tofauti na wako umesoma nilichoManipulate kweli.

That serious Writtring madam.

God bless you.

Dhima ni moja!.
Ww ni mwandishi bora sana ila usipunguze mistari yako!
Uliona haitoshi ukaniattack kunikosoa kwenye bandiko la mtu tena kosa la kiundishi ambalo hata hukunipa ufafanuzi sasa lipi lilikuwa neno sahihi pale
Nilistaajab nikakuuliza! Na wewe hukosei neno??
Sasa hebu rekebisha maneno kwenye hii post yako

Pia kama kuna mahali nilikuukera unisamehe sana mana sikujua kwa nini uliniattack na kwanini ulitukana mamba hujavuka mto!

Nikutakiwe mafanikio mema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpambanaji huwa achoki, changamoto moja tu unataka hamia kazi nyingine,
Huwezi fanya kila kitu, try to evaluate wapi ulikosea then anza tena
 
Mkuu October man

Pole na mihangahiko na mambano ya dunia hii Mkuu nimekufuatilia sana toka kwenye ule Uzi Wa Bonde la Baraka na post nyinginezo onaonekana wazo lako kubwa n car wash lakn unapambana na vikwazo vingi sana Mkuu usikate tamaa pengne hujaandikiwa kutusua kupitia hyo project badili uelekeo kwa sasa jaribu project nyingnezo tanua ubongo kuwa na idea nyingi znazotekelezeka

Pili Mkuu mtaji s lazma uwe Mkubwa maana hapo umesema unataka uwe unaingiza 20000+ kwa siku tambua hyo n biashara kubwa Mkuu had kupata faida hyo nakushauri anza na biashara Ndogondogo kwanza ambazo wengi wanaona aibu kuizifanya na ndizo zenye faida kubwa

Usiwaze vikubwa sana kabla ya kubwa na vidogo umesema biashara ya mishikaki inahtaji mtaji Wa 500k si kweli Mkuu labda kama unataka biashara ya kuonekana kwa watu nawewe uopoe vimwana kama mchakataji Zero IQ

Mimi naamin wewe n mpambanaji lakn Mkuu tatzo naloliona kwako una malengo makubwa kabla hata ya kuanza biashara yenyewe tambua biashara INA pande mbili FAIDA NA HASARA IPO siku utapata pia IPO siku utakosa tambua hilo na ujiandae kwa hilo

Sasa ukiwaza mambo ya ten M wakat ndio kwanza unaanza biashara na hujajua changamoto zake hii kitu itakutesa sana. Mkuu

PAMBANA YA HELA YOTE HAD KIELEWEKE MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forgive and forget..........
Niliandika uzi wangu juzi ulikuja kucoment kwa kukandia haswaa
Ulionyesha umahiri mno wa kuukandia
Ila sikujali wala kuumia kwa kuwa mpaka mtu anandika uzi ujue amewaza vingi
Amepitia vingi mno
Amehangaika sana kwa mengi
Amekwama kwa vingi
Ameshafanya kila jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wake kafail
Amekata tamaa kabisa ila majibu sasa ya wanaJf ndio yanapokuja kuvunja mioyo na kujiona mtu huna thamani kabisa wala huhitajiki popote pale ni kama tu kikaragosi
Tizama sasa umeandika yale yale tu
Sitaicopy na kuipaste hapa ile comment yako but najua unaikumbuka vyema haswa

Maswali ya karaha ,
Haya hela ya bando unatoa wapi?
Uza hyo smartphone uanzie mtaji!
Na maswali mengine yanayofanania yasiyo na msaada kwa wakati unapokuwa umekwama

Nikutakie kila la kheri naamini utapata wa kukusongesha kwenye hatua moja mbele
Na pia kuna ishu nafatilia ikiwa sawa nitakushirikisha tuifanye pamoja mana naona unajituma haswa hivyo malengo yatatimia haraka!

Sent using Jamii Forums mobile app

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom