Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Hahah ntakuweka kwny maombi.
Nilivyoona amekuja na hii 'nanhii' mpya nikajua atakua amebadilika ki-mtizamo/harakati ila naona bado mtizamo ni ule ule kama alipokua anatumia ile 'nanhii' ya zamani.
Akaze tu,hakuna kitu rahisi.
Na iwe hivyo mkuu..Amekusoma....!..atabadilika naamini...nahisi anapotezwa na miluzi mingi (maybe!)
Bado mtoto hata hivyoHadi mwenyeji alitaka umtafutie? Kweli dunia hadaaa
Bado mtoto hata hivyo
wewe unaweza kumpa idea manager wa ASBA?Usimdharau dharau serious wewe mpe idea . .msikikize mawazo yake
😂😂😂mkuu usichukulie kitu personal
Ndo Nini hiyo AS A?wewe unaweza kumpa idea manager wa ASBA?
Hajabarikiwa nayoMjini ni pagumu umempa Idea ya mbao ilikua bomba kabisa, nadhani bado anajitafuta
Sivan Morogoro sio mji wa biashara ni mji ambao kama ulivoelezwa na Wangari upo upo, maana now hata mchele wa morogoro Dar hauuziki sababu bei yake ni kubwa watu wako radhi wafuate mchele Runzewe na sio Morogoro,
😂😂😂mkuu usichukulie kitu personal
Usiogope watu wanavokupiga majungu hiyo ni kawaida kwenye maisha
Hata ukijenga ghorofa km lile la BOT wapo wadau watakuongelea negative!
sina cha kuongezaHahhaa Sivan hujapigwa personal attack...nasema hizi sio mbona ..siku nitakuja kukuambia yangu utabaki unashangaa ..unaweza hisi unaish na wanga original..lakini kiuhalisia wanakushape mbaya Sana. Bora upigwe hizi na watu Baki Kama sisi .lakini sio ndugu au wazaz au mke au mume. ..sijui unaelewa..unapigwa za uso na mzaz wako😀😀..unafanyiwa figisu na sisy ako .anakuja kumaliza mwenzako iwe mke au mume. Hebu SEMA wapi inaumiza zaidi!
Mtu unaumizwa had unahis una mikosi...lakini tulia soma ramani yako vzr Anza kuunga dots ..mie Leo hii nampelekea dingi asome documents ananiambia Safi...kazana pambana..lakini ni huyo huyo alikua ananiambia huez biashara wewe...uko weak Sana hujachangamka ..umeolewa n blah blah kibao ..hata wewe haya yakufanye upate nguvu . Binafsi mie mtu akinivunja moyo napenda zaidi nimprove wrong hata usingiz unakata ..narudia Tena na Tena kusoma diary yangu na kuongeza hints nzuri nzuri na asbh ukiamka unazifanyia kazi..mie toka corona sijafanya kazi coz of corona n family staffs...lakini NAISHI nnavyotaka ..simtegemei mtu ingawa nachitaka bado sijakipata per se...! Lakini Nilichora ramani na ninatembelea kwenye lane...
tafta kuna uzi wa kama umewahi kudharauliwa usome vizuri sivan kajimwambafai sana kuwa yeye ni maneja wa bank ya ABSANdo Nini hiyo AS A?
Pole mkuu, vumilia tu
Hee...hata mchele hauuziki dar ..duh ..bas hatari zaidi...ndo maana mie napotega vby mno nikirudi wote unawaonea huruma wanyongeeeeeeeee[emoji3][emoji3]!
Moro akili ya ziada inahitajika...mtu anahangaika kulima hoho anakuja kuuza roba kwa 20k/-..;hapana aisee!
Apart from Bei ya juu..mchele wa Moro na ifakara ni mbingu na ardhiSoko la mchele Dar, Mtwara, Lindi na Zanzibar linataka mchele wa kanda ya ziwa ambao uko na bei ya chini sana hivo ukiingia sokoni morogoro unaangushwa maana upo juu
Dah. Hivi ABSA si shirika huko sauzi?Safi na hongera kwake...!usimuonee wivutafta kuna uzi wa kama umewahi kudharauliwa usome vizuri sivan kajimwambafai sana kuwa yeye ni maneja wa bank ya ABSA