kwa frame ya mlango ushuru 40,000/= na kwa top ya mlango ushuru 50,000/= pia utalipia 20,000/= kwa ajili ya kibali cha usafirishaji hii ni kwa mzigo wote, gharama za madirisha sifahamu.
note: kama milango unaichukulia maeneo inakopita reli ya kati ni vizuri uwatumie trc maana ni njia rahisi pia gharama yake ni ndogo.