Mkuu naomba nikujibu kama ifuatavyo.
Nenda ofisi za TFS ukiwa na viambatanishi vifuatavyo.
1.copy ya usajili wa ofisi uliyo tengenezea hiyo milango/frem.
2.Risiti za manunuzi ya hizo mbao.
3. Copy ya Tp(Transit Pass) ambayo ilitumika kusafirishia hizo mbao kutoka mahali zilipo vunwa mpaka Kwa huyo mnunuzi.