Mnigeria ashinda shindano la urembo la kiisilamu

Mnigeria ashinda shindano la urembo la kiisilamu

Naomba kuuliza; hivi kuna imani inayoshabikia huu upuuzi wa miss this miss that? Isije ikawa watu wanachukua imani ki-enyeji na kufanya mambo ya ki-dunia kwa mzaha.

Si heading na habari nzima ya thread hii inajieleza yenyewe, au....?
 
Sishangai kuwa na miaka 21, hao ni wazuri katika kupunnguza miaka.
 
Back
Top Bottom