MNH Imefungwa???

MNH Imefungwa???

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
wakuu kuna taarifa zinasambaa kuhusu hospital ya muhimbili kufungwa je ni kweli???tunaomba wenye taarifa za ukweli watuwekee hapa jamvini
 
wenye taarifa tunaomba wekeni hapa ilikuwa kwenye breaking news ya radio one
 
Sidhani kama kumefungwa!wagonjwa wapya hawapokelewi,waliokuwepo wamejiondokea,kwa hiyo pamebaki empty kiaina!!
 
Sidhani kama kumefungwa!wagonjwa wapya hawapokelewi,waliokuwepo wamejiondokea,kwa hiyo pamebaki empty kiaina!!

Nzuri sana hyo mpaka kieleweke,mbona wabunge wameongezewa posho watu kmya,sa mdaktari kugoma ndo imekuwa tabu,wacha wagome mpaka serikali itoe tamko,baada ya madktari watafuatia clinical officer na manurse,mana nao mishahara yao ni midogo sana wanafanya kazi vijijini mazingira hatarishi,ata kuwazdi hao ma-specialist mana,anapofka pale Opd wao ndo wakwanza kumpokea kabla ya specialist kuja ama dr on call,kwa ivyo nao pia walitibue hlo timbwilitimbwili!
 
huu utabiri utatimia iwapo serikali haitaelewa.
 
Katika hili nalilaumu Taifa hili na mimi nikiwemo...tumebaki kulalama as if tupo katika nchi ambayo si yetu...hivi kweli tukitoka majumbani kuelekea muhimbili kwa maandamano ya amani as if unaelekea mjulia khali mgonjwa wako then tukapaza sauti kwa unyama huu tutashindwa?ni kweli hawa mapolisi ambao ni wateja wa kudumu pamoja na familia zao katika hospitali za uma kutokana na kipato chao kiduchu watadhubutu kutufukuza kwa kutumia mabomu ya machozi?thinkers katika hili tumechemka...hivi panaitaji uccm na ucdm ktk hili..mpuuzi gani mccm anaunga mkono hili?waliowengi si ndo hao ambao wamekosa nauli ya kurudi nyumbani baada ya kusombwa toka makwao ktk sherehe ya ccm je wataweza pata pesa ya kwenda private hospital or ndo wameamia kwa sangoma?kamati ya bunge iliyoundwa ktk mgogoro wa madakitari imejiandaa kuwatetea walikufa kwa staili gani?watanzania katika hili no?m sure wangelikuwa wakenya wangeliungana kudai haki yao..kweli nimeamini tu malofa...hospitali kubwa kama mnh kukosa doctor?imagine hw many opd per day are received?plz thinkers tumechelewa bt plz hatujachelewa ktk kuleta changes as 4 changes to happen sucrificatio must be there...if m nt mistaken sylia revolution ilikuwa poped out with one person who decide to sueside hmself iweje watu zaidi ya mia wanaoendelea kuteseka na tena wakiwa na pesa zao kosa hapana Doctors....
 
tena mt meru,mawenzi na bombo wako nyuma ya wakati wanatakiwa waunge bodi!
 
Kufungwa haimanishi kuweka makufuli milangoni, kuacha kutoa huduma ni kufungwa pia. Wako wapi wana harakati wa kuratibu shinikizo kwa watawala wajitokezf basi
 
Back
Top Bottom