Shida ya walio wengi including MZIWANDA ni kwamba wanadhani ndoa ni WATOTO...
HAKUNA KITU KAMA HICHO NYIEEEE!
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili kupendana hadi kifo kiwatenganishe(tafsiri niijuayo mimi, i dont entertain malumbano hapa).
Sasa, watoto ni ZAWADI katika ndoa, ndio tunavyosema na kuamini...
Hivi mtu utalazimisha upewe zawadi?..
Kama zawadi haijatoka, kuwa mpole!
Kulazimisha watoto wapatikane sio suluhu katika ndoa, bali ni uzinzi..na aziniye na MWANAMKE HANA AKILI KABISA, BIBLE INATUMABIA HIVYO...NIMEMALIZA!
u must be so loyal. unasema hivyo kwa vile una m/watoto, au hujajua status yako ya urutuba. asikudanganye mtu, mkuu ndoa bila mtoto au watoto ni bure. watoto katika ndoa ni 'implied' kwa maana kuwa watu wanatarajia ongezeko kati yenu.
Hii ni kwa AFRICA tu.
Hii ni kwa AFRICA tu.
biaseness!after all, we are afrikans, huh!
biaseness!
soma post no3mkuu hujatuambia mustendi wako. Mi ningefanya the same ila ningemwacha shem atambae tubaki na ndoa yetu.
Walizaa vipi ivf ama mchezo kamili? May b the man is crazy abt the game n not the kids. Hii stori kama ya ukweli haina dawa!