Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 70
Shida ya walio wengi including MZIWANDA ni kwamba wanadhani ndoa ni WATOTO...
HAKUNA KITU KAMA HICHO NYIEEEE!
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili kupendana hadi kifo kiwatenganishe(tafsiri niijuayo mimi, i dont entertain malumbano hapa).
Sasa, watoto ni ZAWADI katika ndoa, ndio tunavyosema na kuamini...
Hivi mtu utalazimisha upewe zawadi?..
Kama zawadi haijatoka, kuwa mpole!
Kulazimisha watoto wapatikane sio suluhu katika ndoa, bali ni uzinzi..na aziniye na MWANAMKE HANA AKILI KABISA, BIBLE INATUMABIA HIVYO...NIMEMALIZA!
Hapa hakuna busara kuna emotions
Kosa la kwanza amezini na mdogo wake mke wake haramu kabisaaa...hilo sina solution
Lakini anatakiwa aoe mke wa pili (siyo dada wa mke wake) watoto ni muhimu katika ndoa hilo halina ubishi
Nionavyo mimi maji yameshamwagika...itabidi aoe wote