Sasa Mkuu ukishamaliza kutoa nyaa, unajisuuzaje!!?Sory mkuu wewe niwa mkoani eee!!!any way binafsi watu tunatofautiana!!kama mimi cha kuchuchumaa sikipendi hadi nimeweka kwangu natumia hikiView attachment 429084[emoji86] [emoji86]
Ntawaita Panya Road sasa hivi uone utakavyo toka nduki.Kama sio ujanja vaeni majani basi koz hata kuvaa nguo ilianzia mjini
We endelea na hivyo vya kuchuchumaa mpaka upate cramps ndiyo utajua faida ya vyoo vya kisasa.Sijui ni ushamba wangu au ni vipi, yaani hivi vyoo vyenye masinki ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahati mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. We unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masinki ya kukaa au vyenye masinki ya kuchuchumaa?,
NAMWAGA MAJI YA KUTOSHAkhee miss jamani hivyo ni mbaya sasa tukiingia huko si tunatembeza mikojo yako bar nzima? uwe unapiga singi bomoa ile ni nzuri ila ujue kikibinua sababu unaweza jikojolea
Labda nikusaidie hii 24/7 inamaanisha Kkila siku, kila dakika kila sekunde.. daily.kuna namba hizi mtu akiandika huwa sielewi sijui ni utu uzima wangu ; 24/7 au 0713
okey ila jifunze kubinuka hii ina apply hata kwenye mambo yetu yale matamuNAMWAGA MAJI YA KUTOSHA
Ha ha haaa.. Umetisha sana.Nilikwenda ugenin nikakuta CHOO CHA KUKAA nikajiongeza kwa kukipandia juu kisha NIKACHUCHUMAA.
Siku hizi vipo vya kulala.
hata kama kikiwa cha kukaa mi lazima nichuchumae
Hakyanani Jf..!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hizi vipo vya kulala.
Choo cha kukaa ni kwa ajili ya walemavu, hasa wa viungo,
Ukikuta mtu si mlemavu wa viungo anakitumia ujue ana ulemav wa ubongo
Hahahaaa mla chips wa Dar naona umecomentUtazoea tuu mwanaume wa mkoani