PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
Sijui ni ushamba wangu au ni vipi, yaani hivi vyoo vyenye masinki ya kukaa nashindwa kabisa kuvitumia hata ikitokea bahati mbaya nikavitumia nakuwa uncomfortable kabisaa mimi nishazoea hivi vyoo vya kuchuchumaa.. We unapendelea kipi kati ya vyoo vyenye masinki ya kukaa au vyenye masinki ya kuchuchumaa?,