Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,673
Mapenzi ya kweli yapo ila kumpata mwenye nayo ndio changamoto.
Mkuu wapo wengi saaana wenye mapenzi ya kweli. Labda tukuoneshe wadada wenye big brain and well composed alafu Wana true love mmoja wapo ni ephen_Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
Wanawake WA jf Kwan wanaishi Sayari gan?? Ndio hawa hawa unaowaona huko mtaaniyaani mi nijihangaishe kutoka na mwanamke wa JF kumamae, labda nizaliwe upya
KomaaaWakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
HahahaKuna mmoja alikua ni wife material kabsa mpole, hana makuu, ananiheshimu yaani kila kitu yuko poa.. ila sijui nini kilikua kinanifanya natafta sababu ya kuachana nae, sasa hvi niko na mmoja huyo, meseji natuma anaisoma alafu ajibu