Kama shule imewashinda, acheni. hatajawaalika kutuchunguza.
Kweli kabisa dada..... ila wamekosea kutoa malalamiko yao.... tatizo sio nguo.... bali mitego ambayo ukichanganya na nguo mambo inakuwa siyo!!! Mabinti wa siku hizi sijui wanaenda shule kujifunza kutega au ni nguvu za yule muovu ndio zimezidi!!!!! :shetani:Kama shule imewashinda, acheni. hatajawaalika kutuchunguza.
Mitego maria, mabinti wa siku hizi utafikiria wanachukua kozi za kutega duuu...:coffee:!!!!Watakuwa na lao jambo si bure :twitch:
Tamaa tu mbona hamfeli sasa
Mwishoni mwa mwaka jana pale mtaa wa Samora alipita dada mmoja kavaa mini ambayo inaishia chini ya makalio na kavaa high heels sasa kwa bahati mbaya akaanguka kumbe alikuwa hajavaa ch*pi na kama sio mama mmoja kumfunika na kanga haraka ilikuwa aibu tupu.Yule mama akamwambia na kanga chukuwa tu usije mjini hivi.Mimi ni mkristo, lakini katika suala la mavazi ya siku hizi hasa ya akina dada naomba na kuunga mkono sharia ya kiislamu itawale Dunia.
Maana wakristo tumekuwa softi sana katika suala la mavavi kiasi imefikia akina dada wanakuja kanisani na mavazi ya beach na disco halafu utakuta hata bila aibu anapita mbele kupata Chakula cha Bwana!
Kama shule imewashinda, acheni. hatajawaalika kutuchunguza.
Mimi niko chuo St. Augustine Mwanza kina dada kweli mavazi wanayovaa si mazuri lakini unajitahidi kuwapotezea tu kwani lazima uwaangalie??
Mie hata mpenzi hapa chuo sina yuko home Geita hapa shule ni noma .
Mshikaji kama unaona wanavaa vibaya we wapotezee tu utafeli bure