Mnatakaga kujua nini wanaume?

Mnatakaga kujua nini wanaume?

Mi huwa siulizi na sijawahi waza hiko kitu never happen...

Sasa umuulize mshangazi swali kama hilo si ukichaa...

Mi ndo naulizwaga hv "" hv ushawahi toka na mtu mzima kama mimi""

Mi jibu HAPANA... Hvyo anajiona yeye wa kwanza kumbe akifungua droo langu la nguo anaweza kutana na vijora vya ant salome
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom